Dirayasamia

Dirayasamia Tanzania Online Media 🔥 Powered by youth. Inspired by Mama Samia.
💪 Digital force for truth, change & national pride.
✊️The Pride Of CCM & President Samia💚💛.

08/06/2026

Rais Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jiji Dar es salaam ,juni 8,2026.


📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: || || || tzs_media
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || tzs_media ||




Chini ya uongozi wa H.E. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaendelea kufungua ukurasa mpya wa diplomasia, ushirik...
08/06/2026

Chini ya uongozi wa H.E. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaendelea kufungua ukurasa mpya wa diplomasia, ushirikiano wa kimataifa na ukuaji wa uchumi duniani. Ziara ya H.E Hon. President Tharman wa Singapore nchini Tanzania ni ishara ya kuimarika kwa mahusiano ya kirafiki na ushirikiano wa kimkakati kati ya mataifa haya mawili. Karibu Tanzania Mheshimiwa Rais Tharman, taifa linaloongozwa kwa maono ya amani, maendeleo na mshikamano chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.

📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: || || ||
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || ||




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofany...
08/06/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 08 Juni, 2026.


📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: || || ||
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || ||




Serikali inachukua hatua mbalimbali kuwezesha maendeleo ya teknolojia ili kukidhi mahitaji ya jamii. Ziara ya Rais wa Si...
08/06/2026

Serikali inachukua hatua mbalimbali kuwezesha maendeleo ya teknolojia ili kukidhi mahitaji ya jamii. Ziara ya Rais wa Singapore nchini itaongeza tija kwenye eneo hilo, ikiwemo kuvutia uwekezaji na fursa za mafunzo, kutokana na nchi hiyo kupiga hatua kwenye sekta hiyo.


📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: || || ||
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || ||




08/06/2026

Mnamo tarehe 26 Mei 2026,
The Spearhead ilizindua rasmi filamu yake ya kwanza ya uchunguzi yenye jina *“What Happened On October 29?”* mjini Accra, Ghana.
Filamu hii inaibua mtazamo wa Kiafrika kuhusu matukio ya maandamano ya vurugu yaliyoitikisa Tanzania mwezi Oktoba 2025, huku ikipinga simulizi za vyombo vya Magharibi na kufichua nguvu za nje zilizokuwa zikichochea machafuko hayo dhidi ya serikali.

Baada ya uzinduzi huo Afrika Magharibi, filamu hii iliendelea kuonyeshwa Afrika Mashariki kupitia maonyesho maalum yaliyofanyika Dar es Salaam tarehe 3 Juni na Nairobi tarehe 6 Juni 2026.

Sasa documentary hii inapatikana rasmi kupitia YouTube, Akaunti ya: SPEAR_HEAD /
DarEsSalaam Accra Nairobi
'
@‘ariastsehai... /
, , , , , tz1, , , , ,


📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: || || || tzs_media
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || tzs_media ||

TanzaniaYaSamia
DIRAyaSamia

SamiaSuluhuHassan IkuluTanzania

08/06/2026

*TANZANIA YA KESHO INAJENGWA LEO...*
Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuandika historia mpya ya maendeleo kwa kuvuka mipaka ya fikra za kawaida na kuingia kwenye zama za teknolojia za kisasa za uzalishaji wa umeme wa nyuklia kupitia ushirikiano thabiti na madhubuti uliosukwa na nchi ya Urusi. Hii ni hatua ya kimkakati inayodhihirisha dhamira ya dhati ya kujenga Taifa lenye nishati ya uhakika, yenye uwezo wa kuhimili mahitaji ya sasa na ya baadaye ya wananchi pamoja na sekta za uzalishaji. Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unaendelea kuonesha kwamba maendeleo ya kweli yanahitaji maamuzi ya kijasiri, maono makubwa na uwezo wa kuandaa mazingira yatakayowezesha Tanzania kushindana kiuchumi na mataifa mengine duniani.

📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: || || || tzs_media
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || tzs_media ||




08/06/2026

*MILANGO YA UWEKEZAJI...*
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya uchumi wa dunia kwa kushiriki Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg nchini Urusi, ambapo amewasilisha kwa ujasiri na weledi fursa kubwa za uwekezaji katika sekta tano muhimu za kimkakati. Mbele ya viongozi wakuu wa dunia, wawekezaji wakubwa na wadau wa maendeleo kutoka mataifa mbalimbali, Mama Samia ameonesha kwa vitendo kuwa Tanzania ni eneo salama, lenye utulivu wa kisiasa na mazingira rafiki kwa biashara na uwekezaji. Uwasilishaji wake wa fursa zilizopo katika madini, kilimo, nishati safi, mafuta na gesi umeendelea kuwavutia wawekezaji wanaotafuta maeneo yenye uhakika wa ukuaji wa uchumi na faida endelevu.

📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: || || || tzs_media
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || tzs_media ||




08/06/2026

RAIS Kufungua Milango ya Dunia,
Wale wote wanaodhihaki au wanaoshindwa kuona kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita wanapaswa kuelewa kuwa Singapore ni moja ya mataifa yenye uchumi imara na wa kiteknolojia duniani (Asian Tigers), na ujio wao nchini ni uthibitisho kwamba Tanzania sasa inaaminika na inaheshimika. Rais Samia amefungua milango ambayo imefungwa kwa miaka 46; hii si tu hatua ya kidiplomasia, bali ni daraja la dhahabu linaloleta fursa za uwekezaji, biashara, na teknolojia mpya ambazo zitawanufaisha Watanzania wote na kukuza uchumi wetu kwa kasi ya ajabu.

📍YouTube:
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: || || || tzs_media
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || tzs_media ||




08/06/2026

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dirayasamia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share