
10/01/2024
Ni mwaka mmoja sasa tangu umetutoka baba yetu mpendwa
familia yako pendwa na ndugu tunakukumbuka sana
tunakuombea kheri huko ulipo mpaka tutakapo kutana tena
rest in heaven peace
Avelyn Charles Shauritanga Luoga