
09/06/2025
💥 It's more than music — it's a story of hustle! 💸🔥
EP mpya inakuja kwa kishindo!
Nyimbo 5 zenye maumivu, ndoto, na harakati za mtaani...
Kutoka kwa Nero B, msanii kutoka Tarime anayeiamsha game!
🎧 Jiandae kuisikia — siyo tu muziki, ni ujumbe wa maisha.