16/02/2025
"Ligi imekuwa na ushindani mkubwa, Singida imepokea wachezaji wengi wapya. Kuna mabadiliko mengi sana kwenye kikosi chao sidhani k**a itakuwa Singida ile ile ya mwanzo kwani wamebadilisha mpaka benchi la ufundi maana yake hata mbinu zao zimebadilika.
Hivyo tunajua tunakwenda kukutana na mchezo mgumu na wenye ushindani lakini tumejiandaa vizuri kuhakikisha tunapata ushindi."