Wahenga wanakwambia ukiona manyoya ujue kaliwa ...Haya wanalunyasi endeleeni kuwa wapole tuu watawaweka na vidole kabisa hao vipngozi wenu 🚮
13/07/2025
Msimu ujao ni humu tuu Maeeh
11/07/2025
Augustine Okejepha anasepa zake Simba kutafuta malisho sehemu ingine kwaajili ya msimu 2025-26..
Matarajio yalikuwa makubwa sana kwa huyu jamaa lakini haijawa hivyo. Kila la kheri Oke huko uendako ✍️
11/07/2025
Wanetu wa Arsenal mmelamba Dume hongereni sana
08/07/2025
Air Manula amerejea nyumbani alipokulia.. Mwenda kwao si mtumwa✍️
04/07/2025
Napendekeza awe Rais wa kudumu TFF.. Atolewe na mambo mawili tuu either Kifo au Maradhi... Tutaenda kubaya baada ya Karia ndugu zangu
04/07/2025
Ndugu Wallace Karia ndiye mgombea pekee aliyekidhi vigezo kuelekea uchaguzi mkuu wa TFF..
Wagombea wengine watano waliosalia mmoja hakuhudhuria katika usaili na wanne hawajakidhi vigezo vinavyohitajika ili kuwania kiti cha urais wa TFF...
03/07/2025
Ndugu yangu huyu baba alishaomba msamaha k**a alivyoelekezwa na Ofisa? 😂😂
25/06/2025
KABURI la Simba SC msimubhuu uliotamatika ni Moussa Camara.. Hakuna shaka tutaelewana katika hilo
Simba Vs Costal Union 2-2 kutoka 2-0 alifanya upuuzi mpaka ikawa 2-2 kuna mwenye kukataa hili wakulungwa?
Simba Vs Yanga 1-0 Ufala wa kuutamani mpira ambao hakukuwa na madhara kwenye Open play tena cz ulikuwa unaenda nje ikawa 0-1 Point tatu kapuni hapo ilhali kukikuwa na uwezekano wa kukusanya alama moja
Fountain Gate Vs Simba 1-1... wengi walimlaumu Chasambi ila oale lawama zangu zote kwa Camara kwakuwa aliiomba mali na kushindwa kuimudu pale hata mtoto wa darasa la saba hawezi zingua ✍️
Hapo ukidadavua unapata alama saba ambazo hazikuwa na sababu ya kuzipoteza k**a siyo upuuzi wa Camara
Kwa namna hiyo basi namalizia kwamba Camara ni Kaburi lanSimba 2024-2025 NBC PL 🙏🙏
25/06/2025
Wanaume 22 wanaoanza katika Derby ya Kariakoo.. Hakuna tena kipengele mambo hadharani ✍️
Be the first to know and let us send you an email when Sports Mizuka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.