Cathode

Cathode Conveying messages to the world that most of the citizens in developing countries suffer the emotional & psychological pain.

Kipanya naomba training ya painting Kwenye simple sketch k**a hizi
13/02/2020

Kipanya naomba training ya painting Kwenye simple sketch k**a hizi

Na mimi huwa nasisitiza usalama kwa lolote hata tunalolinunua
06/02/2020

Na mimi huwa nasisitiza usalama kwa lolote hata tunalolinunua

20/08/2016
Contacts :+255713741090
20/08/2016

Contacts :+255713741090

25/01/2015
25/01/2015

ARTIST: CATHODE
GENRE: HIPHOP
SONG: HUSTLE IN THIS SINLIFE!

VERSE II

KWA KUMBUKUMBU KITAA SHOW DANGER ZLINFANYA NIHUSTLE, BAADA YA KUACHA MISHE NA KUNDI KA COMMANDO YOSSO, NKIWA MAN "A" NLIKALISHA HATA DANCE HALL, KANISANI NNAINGIA KWAPANI NNA PISTOL, SIKU NLIVURUGWA NLITEKA PADRE WAUMINI, KOSA TU WENGI WALITOA SADAKA ZA SHUKRANI, YULE NLOSOMA NAYE ALIKUWEPO IBADANI, ALIPONANGALIA TU NLIMSHOOT MACHONI, BAADA YA ILE MADA ILIBIDI NIHAME MJI, NLITUBU NA KUWA PASTA WA KANISA LA KIJIJI, NKISIFU KWA SAUTI KUWA ALAH NDIYE MPAJI, KISHA NLIANZA RATIBA YA KWENDA MAKA KUHIJI, UHAI WA MAREHEMU LEO HII NI HISTORIA, NDUGU ZAKE WAMESHACHOKA KUZINUNUA SHERIA, KA CAPTAIN WA MELI SIPIGI KASIA KWA MWIKO, NAKULA NA WALE WANAODHULUMU MALI ZAKO.

CHORUS

WE ALL STRUGGLE AN' HUSTLE IN THIS SINLIFE, DO NOT SHOOT ROB OR KILL USIN' SHARP KNIFE, COZ MOST OF THE VICTIMS DO NOT SURVIVE, I ALWAYS ASK GOD MA SINS TO 4GIVE. *2

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cathode posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share