Efatha TV

Efatha TV Welcome to the EFATHA TV official page "WE BRING THE WORLD TO JESUS"

Njoo ukutane na Mungu anayeinua, anayebariki na kugusa  moyo wa kila anayemsogelea, ni kupitia  madhabahu ya Kanisa la E...
16/08/2025

Njoo ukutane na Mungu anayeinua, anayebariki na kugusa moyo wa kila anayemsogelea, ni kupitia madhabahu ya Kanisa la Efatha Mwenge siku ya kesho Jumapili.

Mungu ameweka neno lake kwenye kinywa cha Mtumishi wake ambalo litakuponya, litakufungua na litakukomboa.

Usikubali kuhadithiwa, andaa moyo wako!

Kuanzia saa mbili asubuhi Ibada hii itakuwa LIVE kupitia na kwenye kurasa zetu za You Tube na Facebook utaipata Ibada hii Mbashara kabisa.

Mungu amekukusudia mema, karibia hemani pake ukutane na uweza wake.


16/08/2025

☆☆☆☆☆☆☆☆☆
UKIRI WA LEO | JUMAMOSI AGOSTI 16, 2025
☆☆☆☆☆☆☆☆☆

💡 SIFI KWA MAGONJWA WALA KWA AJALI WALA KWA MAPENZI YA YULE MWOVU WALA KWA MAPENZI YA WANADAMU.

💡 NITAMALIZA SAFARI YANGU SALAMA NA NITAFIKISHA MIAKA 120, ILI BWANA ATUKUZWE!!!

AMEN!!!

HALLELUJAH ❤️

UKAWE NA JUMAMOSI YENYE BARAKA!!!
————————————————


15/08/2025

Hao wadau wa kutoka Singida
Wewe je, unatufuatilia ukiwa wapi? 🌍
Tuma clip fupi 📹 ukituonyesha ulipo na unavyotufuatilia – tutafurahi sana kuiona! 💙

15/08/2025

Ukosefu wa watu waaminifu kwenye maeneo ya kazi ni watenda kazi kuwaogopa Maboss/ Waajiri na sio Mungu.

Ujumbe huu ulifundishwa na Mtume Prof. Emanuel Chao kwenye Semina ya Kukaa kwenye Nafasi iliyofanyika Kanisa la Efatha Singida, unaweza kuongeza maarifa zaidi kwa kutembelea ukurasa wetu wa Youtube na Facebook

✅ Fuatilia, Jifunze na Ujengwe Kiroho

----------------------------------------


15/08/2025

Je, kwenye eneo lako la kazi huwa unafanya kazi endapo tu Mwajiri/Msimamizi wako yupo?

Mtume Prof. Emanuel Chao ameangazia suala la utendaji kwenye eneo la kazi.

Kufanya kazi k**a mkataba wa kazi unavyotaka kuna matokeo mtu hawezi kuyaona, lakini kufanya kazi kwa moyo wa kupenda, Mungu ndiye hutoa thawabu ya kazi hiyo.

Ameongeza pia, kuna mtu anaweza akapokea mshahara mdogo lakini yeye ndio akawa anawakopesha wengine kwa sababu anafanya kazi kwa moyo, tofauti na wenzie kwani wao hupeleka fedha zao kwenye viriba vilivyotoboka/ kushughulikia matatizo.

Ujumbe huu ulifundishwa kwenye Semina ya Kukaa kwenye Nafasi iliyofanyika Kanisa la Efatha Singida.

Ongeza maarifa kwa kutembelea ukurasa wetu wa Youtube na Facebook

✅ Fuatilia, Jifunze na Ujengwe Kiroho na Kifikra
-------------------------------------------------------


15/08/2025

Ni kesho Jumamosi, usipange kukosa fursa hii kijana.

Njoo ujifunze Ujiconnect kwenye fursa na kula pamoja.Tukio hili litafanyika
Mikocheni B, barabara ya Warioba, karibu na Palm Village.

💬 Nani atakuwepo? Andika jina lako kwenye comments! tutafurahi kukuona

Inafanyika kwa ushirikiano na

15/08/2025

Let’s Go!

✨ Let, Learn, Connect & Dine!
This Saturday Mikocheni Warioba near Palm Village.

💬 Who’s coming? Drop your name in the comments!

Powered by

Mungu hajatupungukia kwa neno lolote tangu wiki hii  ilipoanza, basi leo Ijumaa ni nafasi yetu nzuri ya kusemezana nae k...
15/08/2025

Mungu hajatupungukia kwa neno lolote tangu wiki hii ilipoanza, basi leo Ijumaa ni nafasi yetu nzuri ya kusemezana nae kwa njia ya maombi.Hii ni fursa ya kipekee ambayo itakujia kupitia runinga yako pendwa ya kwenye kipindi cha Safari ya Imani.

Mch.Magreth atakuwepo kuhakikisha umejiunga kwenye maombi kwa ajili ya mada zote zilizofundishwa kwa wiki hii, lakini pia atatuongoza kupeleka hoja zetu binafsi mbele za Mungu.

Unaruhisiwa kutuma maombi yako kupitia No.0689 916 846
------------------------------------------------

15/08/2025

Vijana, hii sio ya kukosa kabisa ni fursa yako ya kukutana na Pastor Fulgence Faustine, Pastor Nattu Shilla, Marion Elias, Neema Kessy na Pastor Claudia Challo – watakuhakikishia you get the right knowledge to build you up.

Host wa event atakuwa Vanessa Frank – akihakikisha energy na flow zinabaki fresh muda wote.

Hii ni kwa ajili yako!! This saturday August 16, Mikocheni Warioba Road near Palm Village.

Kuuliza, kujifunza na kuconnect na fursa mbalimbali
Don’t miss it





14/08/2025

Tunapopita katika majaribu au mapito, hiyo ni namna ambayo Mungu anakuandaa kwaajiri ya kusaidie wengine, Majaribu ni Misuli ya imani yako!
Askofu .gates_of_wisdom

✅ Fuatilia, Jifunze na Ujengwe Kiroho na Kifikra
-------------------------------------------------------


14/08/2025

HESHIMU WATU!
Ni kweli una wito, una kusudi lakini unahitaji mtu ambaye ni mentor kwako atakaye kuelekeza na utende kwa Hekima. .gates_of_wisdom

✅ Fuatilia, Jifunze na Ujengwe Kiroho na Kifikra
-------------------------------------------------------


14/08/2025

Mungu amepanda kitu chema ndani ya mwanadamu ambacho hata ije dhoruba ya aina gani hakita haribiwa/ hakuna awezaye kuzuia. .gates_of_wisdom

✅ Fuatilia, Jifunze na Ujengwe Kiroho na Kifikra
-------------------------------------------------------


Address


Opening Hours

09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Efatha TV:

Shortcuts

  • Address
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share