
16/07/2024
Akizingatia vipaji vyote kwa ujumla mpaka muziki mmoja wa watafiti kutoka Marekani Jacob Mhoff ametaja Kenya kuwa nchi pekee ya Afrika inayoweza kuingia kwenye orodha ya nchi zenye vipaji vingi duniani ikiwa namba 6.
Yuko sawa au hamkubaliani naye?