Swahibatv

Swahibatv jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni

welcome to stevecheuc my passion is to travel around the world to show you each and everything please subscribe my YouTube channel www.youtube.com/swahibatv

Kipindi Cha kwanza kimemalizika Moroco 1-1Brazil
13/06/2026

Kipindi Cha kwanza kimemalizika Moroco 1-1Brazil

13/06/2026

Brazil inabidi waje kumwazima chama awasaidie kupiga hii mipira

Hawa Brazil wanaweza hata kufungwa na taifa star's
13/06/2026

Hawa Brazil wanaweza hata kufungwa na taifa star's

13/06/2026

Dakika ya 33 brazili wanasawazisha

13/06/2026

DAKIKA YA 23 MOROCO 1 BRAZIL 0

IRAN NA MAREKANI MAMBO BADO MAGUMUMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa Iran, Esmail Baghaei, amesema kuwa muda wa kut...
13/06/2026

IRAN NA MAREKANI MAMBO BADO MAGUMU

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa Iran, Esmail Baghaei, amesema kuwa muda wa kutiwa saini kwa makubaliano kati ya Iran na Marekani bado haujaamuliwa.

“Tutasubiri muda sahihi wa kusainiwa kwa hati hiyo ya makubaliano” alisema Baqei

Alifafanua kuwa kutiwa saini kwa hati hiyo hakutafanyika siku ya Jumapili, lakini akaongezea kuwa kuna uwezekano wa kusainiwa katika siku chache zijazo.

Aidha msemaji huyo alisema wanachukua tahadhari kabla ya kutia Saini mkataba huo kutokana na kutoaminika kwa upande wa pili wa Marekani.

11/06/2026

Afrika kusini wanapata kadi nyekundu

Mechi ni mapumziko Mexico wapo mbele kwa gori moja
11/06/2026

Mechi ni mapumziko Mexico wapo mbele kwa gori moja

Dakika za nyongeza kipindi Cha kwanza afrika kusini bado wapo nyuma kwa gori moja
11/06/2026

Dakika za nyongeza kipindi Cha kwanza afrika kusini bado wapo nyuma kwa gori moja

11/06/2026

K**a upo live waombee afrika kusini Wana Hali mbayaa

Address

Delft
Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahibatv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share