Swahibatv

Swahibatv jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni

welcome to stevecheuc my passion is to travel around the world to show you each and everything please subscribe my YouTube channel www.youtube.com/swahibatv

Mazoezi ya mwisho
13/09/2026

Mazoezi ya mwisho

๐Ÿ“ธ This is dar es salaam Dukanicargo
01/09/2026

๐Ÿ“ธ This is dar es salaam
Dukanicargo

๐Ÿšจ Taarifa Mpya: Alejandro Garnacho yuko tayari kuondoka msimu huu ๐Ÿ‘‹๐Ÿผ๐Ÿ”ต Klabu ya AS Roma imeanza mawasiliano kuhusu uwezek...
11/07/2026

๐Ÿšจ Taarifa Mpya: Alejandro Garnacho yuko tayari kuondoka msimu huu ๐Ÿ‘‹๐Ÿผ
๐Ÿ”ต Klabu ya AS Roma imeanza mawasiliano kuhusu uwezekano wa kumsajili Alejandro Garnacho.

Inaelezwa kuwa Roma ilipendekeza kwanza mpango wa mkopo, lakini klabu yake inataka uuzaji wa moja kwa moja.

๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Garnacho yuko tayari kujiunga na AS Roma, au kuondoka kwenda klabu nyingine endapo atapata nafasi ya kucheza mara kwa mara k**a mchezaji wa kikosi cha kwanza.

๐Ÿ’ธ Wewe unaonaje? Unadhani Alejandro Garnacho ana thamani ya kiasi gani kwenye soko la usajili? ๐Ÿ‘‡

11/07/2026

Hiki ndicho kilichotokea

๐Ÿšจ DEAL DONE Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imemtangaza rasmi Manqoba Mngqithi raia wa South Africa  kuwa Kocha Mkuu ...
10/07/2026

๐Ÿšจ DEAL DONE
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imemtangaza rasmi Manqoba Mngqithi raia wa South Africa kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Pedro Gonรงalves.

Dakika ya 46 mambo bado ni magumu KWA timu zote mbili wakiwa na gori moja
10/07/2026

Dakika ya 46 mambo bado ni magumu KWA timu zote mbili wakiwa na gori moja

Kipa wa misri Leo kazini kwake Kuna kazi
07/07/2026

Kipa wa misri Leo kazini kwake Kuna kazi

07/07/2026

Dakika ya 20 mesi anakosa penalty

SERIKALI YA GHANA YAMKATAZA RAISI WA AFRIKA KUSINI KUINGIA NCHINI MWAOVyombo vya habari vya Ghana vimeripotiwa kuwa nchi...
07/07/2026

SERIKALI YA GHANA YAMKATAZA RAISI WA AFRIKA KUSINI KUINGIA NCHINI MWAO
Vyombo vya habari vya Ghana vimeripotiwa kuwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi imekataa ombi la ziara ya kitaifa ya Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa.

Gazeti la Ghana Business News limeripoti kwamba ziara iliyopangwa kufanyika Agosti 2 hadi 4 imekataliwa na Ghana, huku Ghana ikitaja mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni na chuki dhidi ya Waafrika nchini Afrika Kusini kuwa ndio sababu.

Kulingana na maafisa wa Ghana waliozungumza na shirika la habari la Ujerumani la DW, uamuzi huo unakuja huku mvutano ukiendelea kushuhudiwa kuhusu ghasia za hivi karibuni za chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini.

Vyanzo ndani ya serikali ya Ghana vinasema ziara iliyopangwa, ambayo ilitarajiwa kufanyika mapema Agosti, ilikataliwa ili kuepuka uwezekano wa umma na maandamano nchini Ghana huku hisia kuhusu suala hilo zikiendelea kuwa kubwa.

Inaripotiwa kuwa Accra imeitaka Pretoria kuchukua hatua madhubuti kushughulikia mashambulizi hayo na kuhakikisha ulinzi wa raia wa kigeni kabla ya ziara yoyote ya ngazi ya juu kutokea.

30/06/2026

Hii ni Hali ya Leo hapa Capetown wakati wa maandamano DHIDI ya wageni

Address

Delft
Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahibatv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share