Soka Safi

Soka Safi Ukurasa wa kukuletea taarifa zote kuhusu ligi kuu ya Tanzania bara tu maarufu k**a Ligi Kuu Bara

Simba imeachana na Kocha wake Zoran Maki, Kocha msaidizi na Kocha wa Makipa
06/09/2022

Simba imeachana na Kocha wake Zoran Maki, Kocha msaidizi na Kocha wa Makipa

Azam FC imemtangaza Denis Lavagne kuwa kocha mpya wa klabu hiyo
06/09/2022

Azam FC imemtangaza Denis Lavagne kuwa kocha mpya wa klabu hiyo

Poleni sana Simba SC Tanzania
02/09/2022

Poleni sana Simba SC Tanzania

Simba Queens imetwaa ubingwa wa CECAFA baada ya kuwafunga She Corporate ya Uganda 1 - 0. Simba Queens sasa itashiriki Wo...
27/08/2022

Simba Queens imetwaa ubingwa wa CECAFA baada ya kuwafunga She Corporate ya Uganda 1 - 0. Simba Queens sasa itashiriki Women CAF Champions League

Klabu ya Singida Big Stars imemsajili kiungo mshambuliaji Muargentina, Miguel Escobar  kwa ajili ya msimu wa 2022/23
26/08/2022

Klabu ya Singida Big Stars imemsajili kiungo mshambuliaji Muargentina, Miguel Escobar kwa ajili ya msimu wa 2022/23

Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel alilazimika kustaafu kucheza mpira akiwa na miaka 25 tu baada ya kusumbuliwa na majeraha ...
25/08/2022

Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel alilazimika kustaafu kucheza mpira akiwa na miaka 25 tu baada ya kusumbuliwa na majeraha ya goti kwa muda mrefu. Alikuwa anacheza nafasi ya beki

Taarifa kutoka TFF
25/08/2022

Taarifa kutoka TFF

Juma Kaseja amekiri kwamba mshambuliaji wa Simba SC John Bocco ndiye mchezaji aliyemsumbua sana kwa kuwa alikuwa anamfun...
24/08/2022

Juma Kaseja amekiri kwamba mshambuliaji wa Simba SC John Bocco ndiye mchezaji aliyemsumbua sana kwa kuwa alikuwa anamfunga sana wakikutana na timu alizokuwa anachezea Bocco. Juma Kaseja kwa sasa yupo huru baada ya kumaliza mkataba wake KMC FC

Msemaji wa Geita Gold FC, Hemed Kivuyo amethibitisha kuwa wamemsajili aliyekuwa mchezaji wa Yanga Saido Ntibanzokinza kw...
24/08/2022

Msemaji wa Geita Gold FC, Hemed Kivuyo amethibitisha kuwa wamemsajili aliyekuwa mchezaji wa Yanga Saido Ntibanzokinza kwa mkataba wa miaka miwili. Atajiunga na timu hivi karibuni

Via: Wasafi FM

Taarifa kutoka Yanga
08/10/2021

Taarifa kutoka Yanga

Taarifa kutoka Azam FC
06/10/2021

Taarifa kutoka Azam FC

TFF na NBC wamesaini mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa ligi kuu unaogharimu bilioni 2.5 kwa msimu. Sasa ligi kuu ya...
06/10/2021

TFF na NBC wamesaini mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa ligi kuu unaogharimu bilioni 2.5 kwa msimu. Sasa ligi kuu ya Tanzania inaitwa Ligi Kuu ya NBC

Taarifa kutoka bodi ya ligi
05/10/2021

Taarifa kutoka bodi ya ligi

Tanzania Premier League FT: Polisi Tanzania 2 - 0 KMCFT: Kagera Sugar 0 - 1 Yanga
29/09/2021

Tanzania Premier League

FT: Polisi Tanzania 2 - 0 KMC
FT: Kagera Sugar 0 - 1 Yanga

Mohamed Dewji amejiuzulu uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na amemteua Salim Abdallah "Try Again"  kuchukua nafasi hiyo
29/09/2021

Mohamed Dewji amejiuzulu uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na amemteua Salim Abdallah "Try Again" kuchukua nafasi hiyo

Tanzania Premier League Polisi Tanzania vs KMC 14:00Kagera Sugar vs Yanga  16:00
29/09/2021

Tanzania Premier League

Polisi Tanzania vs KMC 14:00
Kagera Sugar vs Yanga 16:00

Address

Mapumulo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka Safi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Soka Safi:

Share