Habari 254tv

Habari 254tv Kisiwa Cha Burudani. News And Entertainment
(1)

YOUTUBE- 254
--------------------------------
Entertainment
Politic
Lifestyle
News
International & Local Content
Sports
Education
Events
Showbiz

Unajifunza Nini Kutokana Na Picha Hii ?
15/07/2025

Unajifunza Nini Kutokana Na Picha Hii ?

APOKEA KIPIGO BAADA KUFUMANIWA AKILA ORODA NA MBUZI Afumaniwa Akifanya Mapenzi Na Mbuzi Mja Mzito Katika Kijiji Cha Msum...
15/07/2025

APOKEA KIPIGO BAADA KUFUMANIWA AKILA ORODA NA MBUZI

Afumaniwa Akifanya Mapenzi Na Mbuzi Mja Mzito Katika Kijiji Cha Msumarini Gatuzi La Kilifi Nchini Kenya.

Juma Katana Ameokolewa Na Maafisa Wa Polisi Baada Ya Kupewa Vipigo Na Wenyeji Wa Kijiji Cha Msumarini Waliojawa Na Mori.

Kwa Mujibu Wa Mkuu Wa Jeshi La Polisi Kaunti Ndogo Ya Kilifi Kusini Hassan Kochale Wenyeji Wa Kijiji Walikuwa Na Njama Ya Kumuangamiza Katana Juma Baada Ya Kufumaniwa Akila Oroda Na Mbuzi Huyo Mja Mzito.

Picha/ Kwa Hisani

“Hii kesi inatuchafua tu, inaichafua nchi, inaichafua mahakama, inaichafua serikali na inachafua kila mtu anayehusika, i...
15/07/2025

“Hii kesi inatuchafua tu, inaichafua nchi, inaichafua mahakama, inaichafua serikali na inachafua kila mtu anayehusika, isipokuwa huyu ambaye analazimishwa kukaa gerezani kwasababu ya kesi ya namna hii”,____ Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza leo Julai 15, 2025 wakati wa usikilizwaji wa Shauri la kesi yake ya uhaini inayomkabili.

TANZIA Mchekeshaji Kk Mwenyewe Raia Wa Kenya Ameaga Dunia Katika Hospitali Ya Kiambu Level 4 Alipokuwa Akipokea Matibabu...
15/07/2025

TANZIA

Mchekeshaji Kk Mwenyewe Raia Wa Kenya Ameaga Dunia Katika Hospitali Ya Kiambu Level 4 Alipokuwa Akipokea Matibabu .

Kijana Huyu Ambaye Jina Lake Kamili Ni Zacharia Kariuki Alijizolea Umaarufu Nchini Kenya Baada Ya Kufanya Video Kadhaa Za Kumuiga Aliyekuwa Naibu Wa Rais Nchini Kenya Rigathi Gachagua.

Mola Ampe Hifadhi Sahihi Peponi!

Hongera Aldrine Kibet Kwa Kujiunga Na Celta Vigo Ya Uhispania . Ni Mkenya Wa Pili Kujiunga Na Ligi Ya Laliga Baada Ya Mw...
15/07/2025

Hongera Aldrine Kibet Kwa Kujiunga Na Celta Vigo Ya Uhispania .

Ni Mkenya Wa Pili Kujiunga Na Ligi Ya Laliga Baada Ya Mwamba Michael Olunga.

Follow BongaTube Media

HAPPY BIRTHDAY MHE. JOHN HECHE
14/07/2025

HAPPY BIRTHDAY MHE. JOHN HECHE

Uwanja Wa Kasarani Nchini Kenya Imekabidhiwa Rasmi Kwa Wahusika Wakuu Na Waziri Mwenye Dhamana Ya Michezo Nchini Kenya S...
14/07/2025

Uwanja Wa Kasarani Nchini Kenya Imekabidhiwa Rasmi Kwa Wahusika Wakuu Na Waziri Mwenye Dhamana Ya Michezo Nchini Kenya Salim Mvurya. Ni Moja Kati Ya Viwanja Vitakavyotumika Kuandaa Mchuano Wa CHAN .

Picha/ Kwa Hisani
Follow BongaTube Media

CCM Baada Ya Balozi Humphrey Polepole Kujizulu Ubalozi Akiwa Nchini Cuba !Picha / DW Kiswahili
14/07/2025

CCM Baada Ya Balozi Humphrey Polepole Kujizulu Ubalozi Akiwa Nchini Cuba !

Picha / DW Kiswahili

Magazeti Nchini Kenya !Follow BongaTube Media
14/07/2025

Magazeti Nchini Kenya !

Follow BongaTube Media

Balozi Humphrey Polepole Amethibitisha Hajadukuliwa Na Ni Kweli Amejiuzulu Ubalozi Akiwa Katika Nchi Husika Ya CUBA !Fua...
14/07/2025

Balozi Humphrey Polepole Amethibitisha Hajadukuliwa Na Ni Kweli Amejiuzulu Ubalozi Akiwa Katika Nchi Husika Ya CUBA !

Fuatilia BongaTube Media

Mtazamo Wa Mchora Vibonzo Baada Ya Balozi Humphrey Polepole Kujiuzulu !Fuatilia BongaTube Media
14/07/2025

Mtazamo Wa Mchora Vibonzo Baada Ya Balozi Humphrey Polepole Kujiuzulu !

Fuatilia BongaTube Media

14/07/2025

Matokeo Afrika Mashariki !

Address

Mapumulo

Telephone

+254704000104

Website

https://www.youtube.com/@habari254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari 254tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari 254tv:

Share