
12/07/2025
Mnenguaji anayekuja kwa kasi kubwa Queen fraison (Bonge la Dada) ameweka wazi kuwa usichana wake ulimtoka akiwa na umri wa miaka kumi na nane tu (18), Pia hajawahi kutumia Kinga (Kondomu).
"Nilipoteza usichana wangu nikiwa na umri wa miaka 18, toka hapo nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi wa wanaume wa nne tu hadi sasa na wote hao sijawahi kutumia Kinga (Kondomu) huwa nawaamini sana."- Queen fraison, Mnenguaji wa Mbosso.
Toa maoni yako