Nicodem Ambokile

Nicodem Ambokile Sports news

DEAL DONE:โœ… Klabu ya Azam Fc imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Muhsin Malima mwenye umri wa miaka 24 aki...
07/07/2025

DEAL DONE:โœ… Klabu ya Azam Fc imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Muhsin Malima mwenye umri wa miaka 24 akitokea Zed Fc inayoshiriki ligi kuu Misri, kwa mkataba wa mwaka mmoja utakaoisha 2026.

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ†๐Ÿ† Kocha bora kwa sasa duniani.๐Ÿ† Champions League ๐Ÿ† Ligue 1 ๐Ÿ† Coup de France ๐Ÿ† French Super Cup ๐Ÿ’ฅ Nusu fainali Club Wo...
05/07/2025

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ†๐Ÿ† Kocha bora kwa sasa duniani.

๐Ÿ† Champions League
๐Ÿ† Ligue 1
๐Ÿ† Coup de France
๐Ÿ† French Super Cup
๐Ÿ’ฅ Nusu fainali Club World cup.

Luis Enrique na PSG katika msimu wa 2024/2025.

MVP๐Ÿ”ฅ
05/07/2025

MVP๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“ DEAL DONE โœ…: Klabu ya Azam Fc imemtambulisha aliyekuwa kocha wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge k**a kocha wao mkuu,...
05/07/2025

๐Ÿ“ DEAL DONE โœ…: Klabu ya Azam Fc imemtambulisha aliyekuwa kocha wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge k**a kocha wao mkuu, akichukua mikoba ya Rachid Taoussi aliyeoneshwa mlango wa kutokea baada ya kutamatika kwa msimu uliopita.

๐Ÿšจ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ DEAL DONE โœ…: klabu ya Chelsea imefanikiwa kunasa Saini ya  Jamie Gittens (20)  kutoka Borussia Dortmund  Kwa da...
05/07/2025

๐Ÿšจ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ DEAL DONE โœ…: klabu ya Chelsea imefanikiwa kunasa Saini ya Jamie Gittens (20) kutoka Borussia Dortmund Kwa dau la ยฃ48.5m na nyongeza ya ยฃ3.5m.

๐Ÿšจ DEAL DONE:  Klabu ya Manchester United wametangaza kumsajili Diego Leon kutoka klabu ya Cerro Porteรฑo ya Paraguay.
05/07/2025

๐Ÿšจ DEAL DONE: Klabu ya Manchester United wametangaza kumsajili Diego Leon kutoka klabu ya Cerro Porteรฑo ya Paraguay.

๐Ÿšจโค๏ธ๐Ÿค DEAL DONE โœ…: Kiungo Mshambuliaji fundi, Nico Williams amesaini Mkataba mpya wa Miaka nane ambao utamfanya kusalia K...
04/07/2025

๐Ÿšจโค๏ธ๐Ÿค DEAL DONE โœ…: Kiungo Mshambuliaji fundi, Nico Williams amesaini Mkataba mpya wa Miaka nane ambao utamfanya kusalia Klabuni Athletic Bilbao mpaka June 2035.
Kwenye Mkataba mpya Nico Williams amewekewa kipengele cha kuvunja Mkataba wake kwa kutoa Euro Milioni 98.

๐Ÿšจ DEAL DONE: Gabriel Heinze atakua   msaidizi wa  Mikel Arteta k**a kocha msaidizi wa Arsenal kwa msimu ujaoโค๏ธ๐ŸคHeinze ra...
04/07/2025

๐Ÿšจ DEAL DONE: Gabriel Heinze atakua msaidizi wa Mikel Arteta k**a kocha msaidizi wa Arsenal kwa msimu ujaoโค๏ธ๐Ÿค

Heinze raia wa Argentina amekua kocha msaidizi wa Arsenal akichukua nafasi ya Carlos Cuesta ambaye ameondoka na kujiunga na Parma k**a kocha mkuu wa klabu hiyo.

Chamaz Boyโœ…
04/07/2025

Chamaz Boyโœ…

Ratiba ya hatua ya mtoano timu za  ya  na  leo Julai 4, 2025.
04/07/2025

Ratiba ya hatua ya mtoano timu za ya na leo Julai 4, 2025.

๐Ÿšจ RASMI: Paul Pogba atavaa jezi namba 8 katika klabu yake mpya ya Monaco. (Source: )
29/06/2025

๐Ÿšจ RASMI: Paul Pogba atavaa jezi namba 8 katika klabu yake mpya ya Monaco.

(Source: )

๐Ÿšจ DEAL DONE : Klabu ya Fenerbahรงe inayoshiriki ligi kuu ya Uturuki imefanikiwa kumsajili Jhon Duran kutoka  Al-Nassr  kw...
29/06/2025

๐Ÿšจ DEAL DONE : Klabu ya Fenerbahรงe inayoshiriki ligi kuu ya Uturuki imefanikiwa kumsajili Jhon Duran kutoka Al-Nassr kwa mkataba wa mkopo .

Address

Mapumulo

Telephone

+255712441336

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nicodem Ambokile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share