Baraka Fm Radio

Baraka Fm Radio Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Baraka Fm Radio, Radio Station, Mapumulo.

Karibu katika ukurasa wetu wa habari na Burudani BARAKAFM MBEYA tupo tayari kukupa habari muda wotee usiache kusikiliza barakafm 107.7Mhz popote ulipoo pia Bonyeza Link hapo kutufuatili online

https://radiotadio.co.tz/barakafm/TUSIKILIZE POPOTE DUNIANI Tuko live Baraka  fm radio 107.7 MHz kutoka kanisa la Moravi...
13/07/2025

https://radiotadio.co.tz/barakafm/

TUSIKILIZE POPOTE DUNIANI

Tuko live Baraka fm radio 107.7 MHz kutoka kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Ruanda

Sauti ya Matumaini na Ukombozi

MATUKIO:Baraka fm radio 107.7mhz leo tunasali hapa na waumini wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi u...
13/07/2025

MATUKIO:Baraka fm radio 107.7mhz leo tunasali hapa na waumini wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Ruanda.

‎Katika ibada hii kwaya ya uinjilisti yaani Huduma kwaya wanaadhimisha sikukuu yao katika utaratibu wa kanisa.

‎Ikumbukwe kuwa ushirika wa Ruanda unaongozwa na mchungaji SOLON MWASHIGALA.

‎Endelea kuwa nasi tuko live Baraka fm radio 107.7mhz na mitandao yetu ya kijamii Facebook, Instagram na online kwa wale mlio nje ya mikoa ya nyanda za juu kusini tusikilize hapa
‎ 👇👇👇👇👇

https://radiotadio.co.tz/barakafm/

Mahak**a yatupilia mbali kesi ya mke wa Mdude dhidi ya IGP na wengine
10/07/2025

Mahak**a yatupilia mbali kesi ya mke wa Mdude dhidi ya IGP na wengine

Ni miezi kadhaa sasa tangu kada wa CHADEMA Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude achukuliwe na watu wasiojulikana nyumbani kwake Iwambi jijini Mbeya. Na Ezekiel Kamanga Mahak**a Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya jinai namba…

Askofu Pangani;Saidieni watu wenye ulemavu,kuwaondolea changamoto zinazowakabili
09/07/2025

Askofu Pangani;Saidieni watu wenye ulemavu,kuwaondolea changamoto zinazowakabili

Jukumu la kuwasaidia wahitaji ni la kwetu sote pasipo kuchagua dini rangi au kabila la mtu. Na Hobokela Lwinga Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi Mchungaji Robert Pangani Ameitaka jamii kutoa faraja kwa kuwasaidia watu wenye…

‎MATUKIO:semina ya udiakonia katika kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi,semina hii inafanyika katika u...
08/07/2025

‎MATUKIO:semina ya udiakonia katika kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi,semina hii inafanyika katika ukumbi wa hostel za kanisa hilo zilizopo makao makuu Jakaranda jijini Mbeya.

‎Katika Semina hiyo imefunguliwa na baba Askofu Robert Pangani na kuhudhuria na makamu mwenyekiti mchungaji Asulumenye Mwahalende na kaimu Katibu Mkuu mchungaji Nsevilwe Msyaliha.

‎Semina hiyo ya udiakonia imehusisha wenyeviti wa Wilaya zinazounda jimbo hilo Mbeya, Chunya, Mbalizi na Mbarali wakiambata na makatibu wao pamoja na wadau,na watu wenye ulemavu kutoka katika halmashauri zote mkoa wa Mbeya.

‎Endelea kusikiliza BARAKA FM RADIO 107.7mhz kwa taarifa zaidi,nakutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii Facebook, Instagram, Twitter na YouTube bila kusahau online

‎ 👇👇👇👇👇
https://radiotadio.co.tz/barakafm/

MATUKIO:Ni ibada kutoka kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Ilemi Mbeya.Ibada inaongozwa n...
06/07/2025

MATUKIO:Ni ibada kutoka kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Ilemi Mbeya.

Ibada inaongozwa na Mzee wa kanisa Christopher Mwangwego na ujumbe wa neno la Mungu atahubiri mtumishi wa Mungu Bariki Mwaipopo.

Katika ibada hii imehudhuriwa na mratibu wa vipindi vya neno la Mungu kutoka Baraka fm radio mch.Gama SIMBOWE(aliyevaa kora).

Endelea kuwa nasi tuko live Baraka fm radio 107.7mhz na mitandao yetu ya kijamii Facebook, Instagram na online kwa wale mlio nje ya mikoa ya nyanda za juu kusini tusikilize hapa

‎ 👇👇👇👇👇
https://radiotadio.co.tz/barakafm/

Mbunge Mbeya vijijini achukua na kurejesha fomu kutetea kiti
01/07/2025

Mbunge Mbeya vijijini achukua na kurejesha fomu kutetea kiti

Mbunge Oran Njeza, amesema amejifunza mambo mengi katika kipindi chake cha ubunge kinachomalizika mwaka huu na kwamba yuko tayari na imara kutumia uzoefu wake huo kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya wana Mbeya vijijini. Na Josea Sinkala Mbunge wa jimbo…

Askofu Pangani awataka vijana kutumia ibada za sifa kuishi maisha hekima na kujiinua kiuchumi
29/06/2025

Askofu Pangani awataka vijana kutumia ibada za sifa kuishi maisha hekima na kujiinua kiuchumi

Ukisoma Biblia takatifu kitabu cha Zaburi 66:8 Inasema “Enyi mataifa, mtukuzeni Mungu wetu,Itangazeni sauti ya sifa zake;” ‎‎Na Hobokela Lwinga ‎‎ Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi mch.Robert Pangani amewataka vijana kuishi maisha ya hekima yatakayoleta…

Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi mch.Robert Pangani amewataka vijana kuishi maisha ya hek...
29/06/2025

Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi mch.Robert Pangani amewataka vijana kuishi maisha ya hekima yatakayoleta matokeo chanya ya maisha ya kimwili na Kiroho.

‎Rai hiyo amenitoa wakati akifungua ibada ya kusifu na kuabudu iliyoanda kwaya paradise ushirika wa Ruanda inayojulikana k**a the Joy of praise lililofanyika katika ukumbi wa Tughimbe jijini Mbeya.

‎Aidha Askofu Pangani amewataka vijana hao kuitumia ibada hiyo kwa ajili ya kujitafakari katika kuijiimarisha kiuchumi hali itakayowaondolea utegemezi ndani ya ushirika.

‎Mgeni rasmi katik ibada ni mtumishi wa Mungu Ikupa Mwaifwani ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Ikupa financial services.

‎Ibada hiyo imepambwa na kwaya mbalimbali ikiwemo Eden, Tumaini (maarufu k**a shangilieni)kutoka arusha,Efatha Uhuru Moravian kutoka Dar es salaam.

Address

Mapumulo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraka Fm Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category