Lugano Edom

Lugano Edom I am a Gospel music Minister Who is greatly Motivated with the desire to see my songs bless, make joy and inspire the church and the whole world.

All song are available on my YouTube channel.
.

10/07/2025

MIPANGO YA MUNGU NI MKUBWA KULIKO MIPANGO TUPANGAYYO

01/07/2025

Yesu Anatupenda

Hi, thanks for contacting us. We've received your message and appreciate you reaching out.Welcome to our YouTube channel...
01/07/2025

Hi, thanks for contacting us. We've received your message and appreciate you reaching out.
Welcome to our YouTube channel Click SUBSCRIBE today
COMMENT YOUR SCREEN SHOT
👇 👇 👇 👇
Mungu asieshindwa na jambo hata kwako atatenda.
Jaribu kutazama video hii.
🎤
👇 👇 👇
LIKE SHARE COMMENTS SUBSCRIBE
https://youtu.be/LdvfbKzKI6g
https://youtu.be/LdvfbKzKI6g

Uliumba dunia na vitu vyote vilivyomo. Uliumba binadamu uliumba milima..... Karibu utazame video mpya ya wimbo huu wa kumsifu MUN...

Wewe na mimi Wana wa Mungu kujaribiwa ni lazima !!na anaye Tujaribu ni shetani, kupitia tamaa zetu wenyewe.Mtu ajaribiwa...
01/07/2025

Wewe na mimi Wana wa Mungu kujaribiwa ni lazima !!
na anaye Tujaribu ni shetani, kupitia tamaa zetu wenyewe.

Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.(Waraka wa Yakobo1:13-14)

Shetani au ibilisi huleta majaribu kwetu ili atuangamize na kututoa kwenye kusudi la Mungu.

MUNGU HUTUPA MITIHANI KWAAJIRI YA KUTUIMARISHA NA KUTUPELEKA HATUA NYINGINE KILA WAKATI.(Ayubu1:8:12)

Maana ingawa tunaenda katika mwili, hatufanyi vita kwa njisi ya mwili.maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome.(2Wakorintho10:3-4)

Maonyesho ya Biashara Arusha 25-27 July.Bado usajili unaendelea karibu ujisajili sasa.     0755412979
30/06/2025

Maonyesho ya Biashara Arusha 25-27 July.Bado usajili unaendelea karibu ujisajili sasa. 0755412979

Yesu alituchagua ili tumfuate na kufuatisha kila alicho fanya.Wengi wanaanza safari ya wokovu lakini wengi hawamfuati Ye...
30/06/2025

Yesu alituchagua ili tumfuate na kufuatisha kila alicho fanya.

Wengi wanaanza safari ya wokovu lakini wengi hawamfuati Yesu.
Usiwe wewe na Mimi Mwana wa Mungu.

Tukimfuata Yesu lazima tujulikane k**a wafuasi wa Yesu na kumfuata Yesu ni chaguo la toka ndani ya moyo na kujitoa kila kitu kwaajiri ya Yesu.

Kufuata Yesu ni kupoteza uhuru wetu binafsi na kuyaishi mapenzi yake Yesu.

Akawaita mkutano pamoja na wanafunzi wake,akawaambia, mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe,ajitwike na masalaba wake. ,anifuate. kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake,ataiangamiza, na mtu atakayeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya injili, huyu ataisalimisha. (Marko8:34-35)

TOBA YA KWELI.Toba ni hatua ya mwanzo tunayochukua kupata wokovu, ambayo Mungu hutoa kwetu katika Bwana Yesu Kristo.(1) ...
29/06/2025

TOBA YA KWELI.
Toba ni hatua ya mwanzo tunayochukua kupata wokovu, ambayo Mungu hutoa kwetu katika Bwana Yesu Kristo.

(1) toba si kuushia tu kuwa na hatia wala sio kuhuzunika kwa ajili ya dhambi zako tu.

Lakini siyo tu kujaribu kuwa mtu mzuri wala kuwa na dini nzuri .
TOBA YA KWELI NI KUZIACHA DHAMBI ZAKO,KUCHUKIA DHAMBI,KUGEUKA KUTOKA DHAMBINI NA KUMGEUKIA MUNGU NA KUWA MTUMWA WA HAKI.

Maana huzuni iliyo kwa njisi ya Mungu hufanya toba iletayo wokovu isiyo na majuto;bali huzuni ya dunia hufanya mauti.(2Wakorintho7:10)

#
TheGospelToEveryCreature

VIKWANZO  KATIKA KUSIKIA SAUTI YA MUNGU.Mwana wa Mungu umeweka nini moyoni mwako. Maana moyo wako ndio makao ya HISIA, S...
28/06/2025

VIKWANZO KATIKA KUSIKIA SAUTI YA MUNGU.

Mwana wa Mungu umeweka nini moyoni mwako.
Maana moyo wako ndio makao ya HISIA, SHAUKU,NIA,na MAKUSUDI.
Je shauku yako umeweka kwenye vitu na mambo ya ulimwengu ? Kuliko vitu vya MBINGUNI?

Kwa maana macho ya BWANA hukimbia kimbia duniani kote,ili ajioneshe kuwa mwenye nguvu kwa ajili ya hao, waliokamilika moyo kuelekea kwake.(2 mambo ya nyakati 16:9A)

Mungu anainua jeshi lake,ambalo alitishwi na vyeo vyake,aliogopi chochote katika kuiongea kweli ya Kristo.Aliogopi choch...
23/06/2025

Mungu anainua jeshi lake,ambalo alitishwi na vyeo vyake,aliogopi chochote katika kuiongea kweli ya Kristo.

Aliogopi chochote maana limepita kwenye moto na kwa neema ya Yesu likashinda

Linasimama na kweli ya Yesu NO MATTER WHAT OR WHO THEY STAND BEFORE.

Tamani kuwa mmoja katika jeshi hilo mwana wa Mungu. UAMSHO ! UAMSHO ! UAMSHO! NI SASA

Utakatifu ni kujitoa kikamilifu kwa ajiri ya Mungu na kuacha dhambi zote na mazingira ya dhambi Kukubali kuongozwa na Ne...
21/06/2025

Utakatifu ni kujitoa kikamilifu kwa ajiri ya Mungu na kuacha dhambi zote na mazingira ya dhambi

Kukubali kuongozwa na Neno la Mungu na kutii.

Kukubali kuongozwa na Roho Mtakatifu na kutii.

Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote,na huo utakatifu ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;(Waebrania12:14)

Maonyesho ya Biashara Arusha 25-27 July.Bado usajili unaendelea karibu ujisajili sasa.
19/06/2025

Maonyesho ya Biashara Arusha 25-27 July.Bado usajili unaendelea karibu ujisajili sasa.

Mapenzi yake Mungu kamili na watu wasio kamili imeweka hali ya matokeo Yasiyoepukika, Mungu anawatumia watu waliokataliw...
19/06/2025

Mapenzi yake Mungu kamili na watu wasio kamili imeweka hali ya matokeo Yasiyoepukika, Mungu anawatumia watu waliokataliwa na walioshindwa kufutia watu bali Yeye anawatumia.

VIASHIRIA VYA UAMSHO.
1)Utawala wa Mungu
2)Uovu unapowauzunisha na kuwanyenyekeza wakristo.
3)Panapo Roho ya Maombi ya uamsho
4)Wakristo wanapoungama dhambi zao wenyewe.
5)Wakristo wanapokubali kuongozwa na Roho wa Mungu na kujiandaa na uamsho

Mwana wa Mungu uamsho unaanza na mtu binafsi nikimaanisha wewe unayesoma ujumbe huu.

Kubaliana na Mungu kila hitaji analofunua katika maisha yako na ukiri kila dhambi na kutubu kuwa tayari kufanya haki.

Zaburi 139:23-24, 2Wakorintho5:17

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lugano Edom posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lugano Edom:

Share