SokaPlace

SokaPlace Pata Habari za Michezo kila siku kutoka katika vyanzo mbali mbali vya Duniani


Brand Ambassador
Mwanjelwa Agrovetcenter

Magazeti Michezo Leo   Sponsored by
15/07/2025

Magazeti Michezo Leo


Sponsored by

MO DEWJI: Nimetumia Zaidi ya Bilioni 87 โ€“ Lengo ni Ubingwa wa Afrika! ๐Ÿฆ๐ŸŒMwekezaji mkuu wa Klabu ya Simba SC, Mohammed De...
15/07/2025

MO DEWJI: Nimetumia Zaidi ya Bilioni 87 โ€“ Lengo ni Ubingwa wa Afrika! ๐Ÿฆ๐ŸŒ

Mwekezaji mkuu wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (MO), amefunguka kwa mara nyingine kuhusu dhamira yake kubwa kwa klabu hiyo ya Msimbazi, akibainisha kuwa hadi sasa ameshatumia zaidi ya Shilingi Bilioni 87 kuiimarisha Simba โ€“ lengo lake kuu likiwa ni kuifikisha kileleni barani Afrika.

Kupitia video fupi (reel) kwenye ukurasa wake wa Instagram, MO amesema:

๐Ÿ—ฃ๏ธ "Mpaka sasa nimetumia zaidi ya bilioni 87 kwa ajili ya Simba SC. Sifanyi kwa ajili ya sifa. Nimejitolea kwa moyo wangu wote... Lengo langu kubwa ni Simba kutwaa Ubingwa wa Afrika."

Kauli hii imepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki wa Simba, wengine wakionesha shukrani kwa mchango wake mkubwa, huku wengine wakitaka mafanikio yaonekana uwanjani kwa kubeba mataji makubwa โ€“ hususani Kombe la CAF Champions League.

Kwa kipindi chake k**a mwekezaji, klabu ya Simba imefanikiwa kuwa na miundombinu bora ya Mazoezi, usajili wa kimataifa, na kushiriki hatua ya Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho


Sponsored by

Tajir Mo Dewji anasema "Wana Simba, leo saa 4:00 usiku (EAT) atatoa tamko muhimu"  Sponsored by
14/07/2025

Tajir Mo Dewji anasema "Wana Simba, leo saa 4:00 usiku (EAT) atatoa tamko muhimu"


Sponsored by

๐ŸŒ Fainali ya Kombe la Dunia la Klabu 2025FT: Chelsea ๐Ÿด 3๏ธโƒฃ โ€“ 0๏ธโƒฃ PSG ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ทโšฝ Waliofunga mabao:22' โ€“ Cole Palmer (msaidizi: M...
14/07/2025

๐ŸŒ Fainali ya Kombe la Dunia la Klabu 2025

FT: Chelsea ๐Ÿด 3๏ธโƒฃ โ€“ 0๏ธโƒฃ PSG ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

โšฝ Waliofunga mabao:

22' โ€“ Cole Palmer (msaidizi: Malo Gusto)

30' โ€“ Cole Palmer (msaidizi: Levi Colwill)

43' โ€“ Joรฃo Pedro (msaidizi: Cole Palmer)

๐Ÿ” Mchezaji Bora wa Mechi: Cole Palmer โ€“ mabao 2 na pasi ya bao 1
๐Ÿงค Chelsea walipata clean sheet โ€“ safu ya ulinzi ilikuwa imara sana!

๐ŸŽ‰ Hongera kwa Chelsea kwa kutwaa Kombe la Dunia la Klabu 2025! ๐Ÿ†๐Ÿ’™


Imedhaminiwa na

Haji Sunday Manara na Mkewe wa zamani Penzi limeanza Upya Dakika za jioniiiiiiooiiiManara anafunga Goli la Kideoni ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
13/07/2025

Haji Sunday Manara na Mkewe wa zamani

Penzi limeanza Upya Dakika za jioniiiiiiooiii
Manara anafunga Goli la Kideoni ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

โšฝ Mchezo wa HisaniTeam Duchu Vs Team Kaseke  Tuokoe Maisha ya Mama na Mtoto ๐Ÿ•Š๏ธKupitia michezo, tuungane kutokomeza vifo ...
13/07/2025

โšฝ Mchezo wa Hisani
Team Duchu Vs Team Kaseke
Tuokoe Maisha ya Mama na Mtoto ๐Ÿ•Š๏ธ

Kupitia michezo, tuungane kutokomeza vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.

Karibu Uwanja wa Sokoine kushuhudia mchezo wa hisani wenye dhamira ya kuelimisha, kuhamasisha, na kuchangia juhudi za kuokoa maisha ya kina mama na watoto wetu.

๐Ÿ“ Mahali: Uwanja wa Sokoine
๐Ÿ“… Tarehe: [13/7/2025 ]
๐Ÿ•“ Muda: [16:00 Jioni]

๐Ÿ‘ฅ Leta familia yako, marafiki na wapenzi wa michezo!
Pamoja tunaweza kuleta mabadiliko kupitia mpira wa miguu. โšฝโค๏ธ

Sponsored by
Cc

Mkuu wa shule ya  anawatangazia ndugu wazazi na walezi wote mliopo katika mji wa kibaha na Tanzania  Nzima anawakaribish...
13/07/2025

Mkuu wa shule ya anawatangazia ndugu wazazi na walezi wote mliopo katika mji wa kibaha na Tanzania Nzima anawakaribisha sana katika shule ya

Shule hiyo inaendelea kusajili watoto kwa madarasa ya awali, 1,2,3,na 4 kwa mwaka wa masomo 2025

Ada zao ni 650,000/= kwa elimu ya awali kwa mwaka.

Na 850,000/= kwa mwaka elimu ya msingi. Karibuni sana





Piga +255753283004

๐Ÿ”ต RASMI:Klabu ya Al Hilal ya Sudan Jana  imethibitisha kuwa mchezaji wao hatari, Jean Claude Girumugisha ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ raia wa Buru...
13/07/2025

๐Ÿ”ต RASMI:
Klabu ya Al Hilal ya Sudan Jana imethibitisha kuwa mchezaji wao hatari, Jean Claude Girumugisha ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ raia wa Burundi, ameongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia hadi mwaka 2029! ๐Ÿ“๐Ÿ”ฅ

Girumugisha, ambaye ameonesha kiwango cha juu tangu ajiunge na klabu hiyo, ataendelea kuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Al Hilal kwa miaka minne zaidi.

| |
Sponsored by

Klabu ya Namungo FC imempa Mkono wa Kwa Heri Kiungo mkongwe   baada ya Kuitumikia klabu hiyo Tangu Mwaka 2023.  Sponsore...
12/07/2025

Klabu ya Namungo FC imempa Mkono wa Kwa Heri Kiungo mkongwe baada ya Kuitumikia klabu hiyo Tangu Mwaka 2023.


Sponsored by

๐ŸŸฅ Klabu ya  imempa mkono wa kwaheri aliyekuwa kiungo wao mahiri Fabrice Ngoma, aliyeitumikia timu kwa nidhamu na ubora m...
12/07/2025

๐ŸŸฅ Klabu ya imempa mkono wa kwaheri aliyekuwa kiungo wao mahiri Fabrice Ngoma, aliyeitumikia timu kwa nidhamu na ubora mkubwa katikati ya dimba.

Ngoma ameondoka baada ya kuonyesha kiwango bora katika mechi nyingi, akiwa mmoja wa wachezaji waliokuwa na mchango mkubwa kwenye safu ya kiungo.


Sponsored by ๐ŸŒพ๐Ÿ„

Address

Mapumulo

Telephone

+255753201831

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SokaPlace posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SokaPlace:

Share