TabasamuLetu Hub

TabasamuLetu Hub ☆Self & Purpose Discovery
☆Content Creation
☆Sales & Copywriting Skills
☆Storytelling Skills

Founder Tabasamu Letu Hub Clinic

KWANINI NILIJIFUNZA COPYWRITING...?Siku zote nilikuwa na bidii, bidhaa, na ndoto.Lakini nilikosa lugha sahihi ya kuziuza...
12/07/2025

KWANINI NILIJIFUNZA COPYWRITING...?

Siku zote nilikuwa na bidii, bidhaa, na ndoto.
Lakini nilikosa lugha sahihi ya kuziuza.
Nilikuwa nikipost status lakini hakuna kilichouzwa.
Nikaamua kujifunza Copywriting sanaa ya kuuza kwa maneno.

Baada ya muda, nikamfundisha rafiki yangu wa karibu, Dr. Charles.
Mtaalamu wa afya ya uzazi kwa mwanaume.

Miaka 2 baada ya kumfundisha...
Leo hii anaitumia WhatsApp k**a ATM na Ofisi ya kuuza virutubisho.

Screenshot ya mauzo ya mwezi mmoja imenishtua mimi mwenyewe.
Nilijua Nilikuwa kwenye njia sahihi.

👇🏼
Naandika haya si kukuonesha mafanikio yake,
bali kukukumbusha kuwa...
WhatsApp yako ni zaidi ya status za picha ni duka linalosubiri kufunguliwa.

Unataka kuigeuza kuwa mashine ya mauzo ya kila siku?

Tuma neno "NITALIPA" DM au WhatsApp
👉 0679544671
Ujiunge na SEASON 03 ya mafunzo.
Nafasi ni 30 tu za mwanzo.

Usikae pembeni ukiona wengine wanauza kila siku kupitia WhatsApp yako hiyo hiyo.

Nina Tabia ya Siri Inayonifanya Nibaki Njaa ya MafanikioHutumia muda mwingi ni ajabu kabisa kuwachunguza wale waliowahi ...
08/07/2025

Nina Tabia ya Siri Inayonifanya Nibaki Njaa ya Mafanikio

Hutumia muda mwingi ni ajabu kabisa kuwachunguza wale waliowahi kujenga aina ya himaya ninayotamani kuijenga.

Kila mara ninaposoma simulizi zao, kuangalia video zao, au kuwasikiliza wakizungumza... Huwa napatwa na kiu kali isiyozuilika ndani ya mifupa yangu. Hunifanya nisitulie. Hunisukuma kufanya kazi kwa bidii mara dufu kwenye ndoto yangu ndogo ya sasa.

Sikiliza rafiki… Usiwachukie waliofanikiwa. (Na hapana, sizungumzii wale waliotengeneza majumba yao kwa udanganyifu na uongo.)

Namaanisha wale waliotoka sifuri na kujenga kitu chenye maana kwa bidii na uaminifu.

Mafanikio yao yafanye kuwa mafuta kwenye moto wako. Yakuchemshe ndani hadi usibaki salama ukiwa umekaa tu.

Lakini hapa kuna ukweli ambao wengi hawawezi kukuambia, Wakati wewe uko bize kuwaangalia wao, usijipoteze ukitaka kufumbua kila mbinu wanayofanya.

Kuna baadhi ya mambo hutayaona kabisa ukiwa kwenye hatua ya sasa.

Usijidanganye kuwa unajua kila kitu. Ukweli ni kwamba kila hatua ya mafanikio huwa na upeo finyu wa kuelewa hatua inayofuata.

Ndiyo maana unapaswa kusikiliza zaidi kuliko kuongea. Kuna mambo mengi mno mimi na wewe hatujui bado kuhusu maisha haya ya mafanikio.

Kuna tofauti kubwa kati ya KUBISHANA UKITOKA na KUJENGA UKIINUKA.

– Msirikale L Rama

Umiliki wa ardhi si anasa, ni hatua ya busara kwa maisha ya leo na kesho.JTC REAL-ESTATE inakuletea ofa kabambe ya Sabas...
25/06/2025

Umiliki wa ardhi si anasa, ni hatua ya busara kwa maisha ya leo na kesho.
JTC REAL-ESTATE inakuletea ofa kabambe ya Sabasaba 2025 punguzo la zaidi ya 25% na bonus ya hati ya kiwanja au shamba bila malipo kwa manunuzi ya papo kwa papo.

Usisubiri kesho, anza safari ya kuwa na miliki yako leo.



22/06/2025
Milk base soap
22/06/2025

Milk base soap

Try to get it when you are at home
22/06/2025

Try to get it when you are at home

Tabasamu Letu Hub ClinicTabasamuLetu Hub
22/06/2025

Tabasamu Letu Hub Clinic

TabasamuLetu Hub

Address

Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TabasamuLetu Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share