Uvira trending news

Uvira trending news Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Uvira trending news, Media/News Company, Souther African, Pretoria.

Habari zote za Mji ya uvira
Busutwa,music,Film,wasani wote, politics,habari za inchi, ( ukitaka kuzungumuza nasi tutafute kwenye iyo number ya WhatsApp +27703107887 )

24/07/2026

RIP πŸͺ¦ Mr gave officiel

Artist mukubwa toka mji wa uvira  Achillian ndiye ambaye amepeleka msalaba ya msani mwenzake Mr gave officiel πŸ˜­πŸ’”
24/07/2026

Artist mukubwa toka mji wa uvira Achillian ndiye ambaye amepeleka msalaba ya msani mwenzake Mr gave officiel πŸ˜­πŸ’”

Uyo apo ni msani Dennis classic bata boy fans 󱒏 akipeleka 🌺 mauwa kwenye msiba wa kumzika msani mwenzake Mr gave officie...
24/07/2026

Uyo apo ni msani Dennis classic bata boy fans 󱒏 akipeleka 🌺 mauwa kwenye msiba wa kumzika msani mwenzake Mr gave officiel

Leo vendredi le 24.7 njo mazishi ya msani mukubwa   rest in peace πŸͺ¦ legend
24/07/2026

Leo vendredi le 24.7 njo mazishi ya msani mukubwa rest in peace πŸͺ¦ legend

18/07/2026

Mashabiki Mbali Mbali wa muziki wa uvira wana zidi kulalamika kuhusu kifo cha msani wao mkubwa kutokea uvira Mr gave officiel Sikia alicho kiongea kijana uyo kutokea uvira Emmanuel Manis ThΓͺdn

Wasani kutoka kalemie wameungana studio ili kumuimbia msani   πŸ•ŠοΈπŸ˜­πŸ’” rip gave
17/07/2026

Wasani kutoka kalemie wameungana studio ili kumuimbia msani πŸ•ŠοΈπŸ˜­πŸ’” rip gave

Tayari msani mkubwa uvira kavimvira SNACK G amesha wasili kwenye msiba wa msani mwenzake Mr gave aliye toweka duniani ji...
17/07/2026

Tayari msani mkubwa uvira kavimvira SNACK G amesha wasili kwenye msiba wa msani mwenzake Mr gave aliye toweka duniani jioni ya Jana jeudi

Endelea kutufatilia ili upate habari nyingi zaidi

17/07/2026

Uwo ni msafara mzima ambawo wana shindikiza maiti ya msani mukubwa mr gave ku morgue hasubuyi ya Leo Hii vendredi bahada ya msani huyo Mr gave kutoweka duniani iyo jana jeudi jioni

Endelea kutufatilia ili upate habari nyingi zaidi tu follow na ku share na ku comment RIP Mr gave officiel

Tizama gisi mwili wa marehemu msani Mr   ulivyo pelekwa  ku morgue hasubuyi ya Leo vendredi le 17.7.2026 Endelea kutufat...
17/07/2026

Tizama gisi mwili wa marehemu msani Mr ulivyo pelekwa ku morgue hasubuyi ya Leo vendredi le 17.7.2026

Endelea kutufatilia nakutu follow naku share piya ili upate habari nyingi zaidi RIP Mr gave officiel πŸ•ŠοΈπŸ˜­πŸ’”

16/07/2026

RIP Mr gave officiel πŸ˜­πŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈπŸ’”

Address

Souther African
Pretoria

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uvira trending news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share