05/08/2026
Paula kakutana na Joel(kijana wa pesa) part 2 coming soon......
🎬 UAMUZI MGUMU ni simulizi yenye kusisimua, kugusa hisia na kutoa mafunzo muhimu ya maisha. Kila episode imejaa ushauri, maamuzi magumu, mapenzi, na mafunzo yanayoweza kubadili mtazamo wako. Usikose kuifuatilia mpaka mwisho ili ujifunze na kuburudika. , , na ili usikose episode zinazofuata!