UMOJA Wa Vijana Rugombo

UMOJA Wa Vijana Rugombo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UMOJA Wa Vijana Rugombo, Digital creator, United Arab Emirates, Dubai.

20/03/2026

With SAMBA FAMBA – I just got recognized as one of their top fans!

03/01/2026
asalam alaykum warahmatullah wabarakat  k**a wewe ni mpenzi wa maendeleo katika mkoa wa cibitoke kijiji ca rugombo basi ...
12/03/2024

asalam alaykum warahmatullah wabarakat k**a wewe ni mpenzi wa maendeleo katika mkoa wa cibitoke kijiji ca rugombo basi inakuhusu na wewe pia

Badaa ya mdaa mrefu wa Islam wa mkoa huo wa cibitoke wakijicanga wakajaliwa kununuwa kiwanja kilicopo barabara ya nane ( 8 ) juu ya Masdjid Mubarakat

Baada yakujaliwa kuwa wamiliki wa kiwanja ico uongozi umewajibika kutuletea fikra zao yakuwa masomo ndio yatakayo jengwa kwenye kiwanja ico

Pana kosa nini ili yajengwe ?

Kinaco fanya hadi sasa mradi hujanzwa ni yako sadaka ndugu msomaji

Cako nikile ulico wekeza kwa Allah ukikwenda utakikuta ila uviacavyo kwenye ardhii hii MALI ZAKO ,FAMILLY YAKO

Je jiulize Amali gan umewekeza kwa Allah?

Tuseme TAKBIR mwezi huu tuliomo sadaka uandikwa zaka raha ilioje engawa utatowa cako kiandikwe zaka alafu kinaco furahisha ni sadaka ya kudumu

ALLAH ATUJALIYE KUTOWA KILE TULICO NACO KWA MAENDELEO YA JAMIII

WASILIANA NA WATAKAO KUFANYA UFIKE KIRAHISI KUCANGIA YAKO SADAKA

+257 61 23 06 43 kiongozi wa umoja wa wavijana
+257 69 07 25 33 kiongozi wa wa Islam mkoani

Wale vijana wapambananji hatimae wamefikia hatuwa waliyo itafuta kwa mdaa mrefu Kile kidogo walico jaliwa na Allah wamec...
12/03/2024

Wale vijana wapambananji hatimae wamefikia hatuwa waliyo itafuta kwa mdaa mrefu

Kile kidogo walico jaliwa na Allah wamecanga wakapata wakakusanya badae wakanunuwa kifunguwa kinywa kwa wale bibi kizee wa kijiji wacangiye nao Iftar ya kwanza kupitia jasho lao

Na project 2 inayo fuatia sawa n'a mpangilio wa mkowa mziima ni kujenga masomo ya ki ISLAM

Cangia kile ulico jaliwa na Allah

Address

United Arab Emirates
Dubai

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UMOJA Wa Vijana Rugombo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to UMOJA Wa Vijana Rugombo:

Share