Swahili SHOW Australia

Swahili SHOW Australia Swahilishow Australia ni jukwaaa la mazungumzo ya maswala yanayogusa jamii na maisha ya ughaibuni.

Swahilishow Australia ni jukwaa la mazungumzo yanayogusa jamii na maisha yao ughaibuni.Mijadala yetu hugusia mada tofauti k**a elimu,haki sawa, burudani,michezo,Afya ya akili na mengineyo.

13/02/2023

Meet the chairman of ACCSA Mr. Yengi.look how he gives a speech 👍

12/02/2023

African Community council of south Australia Tool kit lounge.

01/02/2023

Do you know the goals of ACCSA?Full video available on YouTube channel of swahilishow Australia. Yengi ,link on bio

29/01/2023

Do you know when and how the African community council of SA formed? Yengi, chairman ACCSA explaining.Full interview will be soon on youtube .link on bio

28/01/2023

Swahilishow Australia ni jukwaaa la mazungumzo ya maswala yanayogusa jamii na maisha ya ughaibuni.

04/01/2023

Subscribe,Like,comment and share

Rest in peace the Goat Legendary Pele
30/12/2022

Rest in peace the Goat Legendary Pele

28/12/2022
Kwa wale wapenzi wa soccer,Alhamis Hii usikose kumsikiliza coach mervic Akitufahamisha mengi kuhusu soccerMazungumzo hay...
28/12/2022

Kwa wale wapenzi wa soccer,Alhamis Hii usikose kumsikiliza coach mervic Akitufahamisha mengi kuhusu soccer

Mazungumzo haya yatarushwa live kwa radio.103.1 Fm na baadae YouTube channel ya swahilishow Australia.

Waswahili nchini Australia wazidi kutupa raha katika msimu huu wa xmas.Bonyeza link hapo chini usikilize wimbo mpya wa@B...
24/12/2022

Waswahili nchini Australia wazidi kutupa raha katika msimu huu wa xmas.Bonyeza link hapo chini usikilize wimbo mpya wa@Beaugardjv


BM PRODUCTION

Ikiwa ni siku moja tu kuelekea skukuu za xmas baadhi ya Abiria wa shirika la ndege la Qantas wakwama baada ya shirika hi...
24/12/2022

Ikiwa ni siku moja tu kuelekea skukuu za xmas baadhi ya Abiria wa shirika la ndege la Qantas wakwama baada ya shirika hilo kughairisha safari.

https://youtu.be/BHjrSC6tQZY
21/12/2022

https://youtu.be/BHjrSC6tQZY

Mr.Rodgers Munyekenye makamu wa raisi wa jumuiya ya wakenya waishiyo Australia ya kusini aeleza sababu za jamii ya wakenya kuwa wengi hususani nchini Austra...

20/12/2022

"WAKENYA WANAPESA NYINGI SANA" NDIO MAANA TUKO WENGI AUSTRALIA".Maneno ya bwana Munyekenye V.President KASA,Jumuiya ya wakenya wanaoishi South Australia.

Nitakuwekea full interview kwenye youtube channel ya Swahili SHOW Australia

Messi Azidi kutamba na kombe la dunia.Ni kitu gani unaweza kutamba nacho katika msimu huu wa Christmas?
20/12/2022

Messi Azidi kutamba na kombe la dunia.

Ni kitu gani unaweza kutamba nacho katika msimu huu wa Christmas?

20/12/2022

Did you know that; Swahili language is the most spoken language in Africa?

Will be live from 4pm to 5pm Adelaide time every Thursday!

Address

Adelaide, SA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili SHOW Australia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahili SHOW Australia:

Share