SBS Swahili

SBS Swahili SBS is the national multilingual, multicultural, and Indigenous media organisation for all Australians.

Use of this account is subject to SBS Terms and Conditions sbs.com.au/terms

Feedback or complaints sbs.com.au/complaints From its beginnings in 1975, SBS has evolved into a contemporary, multiplatform and multilingual media organisation with six distinctive free-to-air TV channels in SBS, National Indigenous Television (NITV), SBS VICELAND, SBS Food, SBS World Movies, and SBS WorldWatch; an extensive radio, audio, and language content network providing more than 60 culturally and linguistically diverse communities with services in their preferred language; and an innovative digital offering, including streaming destination SBS On Demand, available to audiences anytime, anywhere. Follow us on Twitter: twitter.com/SBS
Follow us on Instagram: instagram.com/sbs_australia

HOUSE RULES
This page is a way to get updates, the latest information, promotions and more for SBS and our shows. We'd love for you to leave comments, share photos and videos here. However, please always be respectful of others otherwise or we might need to take down your comments. We also reserve the right to remove spam, reposts, repetitive comments, and those that attempt to interrupt or derail a conversation between other members of the community. Whilst we welcome contributions to our page, we do not endorse the content of those contributions. Contributions should comply with SBS' Network Terms and Conditions and Privacy Policy which are linked clearly below. Network Terms and Conditions
sbs.com.au/terms
Privacy Policy
sbs.com.au/privacy

Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1975, SBS ilibadirika na kuwa shirika la kisasa, lenye majukwa na lugha nyingi likijumuisha chaneli tofauti za bure za TV za SBS, chaneli za lugha za kitaifa za asili (NITV), SBS VICELAND, SBS Chakula, SBS sinema za dunia, na SBS Saa ya Dunia, mtandao mpana wa radio, sauti na maudhui ya lugha unaotoa huduma kwa jamii zenye tamaduni na lugha zaidi ya 60 na huduma kwa lugha wanayoipendelea; na kifurushi bunifu cha kidigitali, kikijumuisha mkondo wa moja kwa moja wa SBS kwa mahitaji unaopatikana kwa wasikilizaji wakati wote, mahali popote. Tufuatilie kupitia twita: twitter.com/SBS
Tufuatilie Instagram: instagram.com/sbs_australia

HOUSE RULES
Ukurasa huu wa facebook ni njia ya kapata sasisho, taarifa mpya, hamasa na kadhalika za SBS na maonyesho yetu
Tutapenda k**a utatuachia maoni, sambaza picha na filamu hapa
Hata hivyo, kila mara kuwa na heshima kwa wengine la sivyo tutahitaji kuondoa maoni yako
Inabakia kuwa haki yetu pia kuondoa taarifa tata, maoni yanayojirudia na taarifa zote zinazojaribu kutukatiza au kutuhamisha mazungumzo miongoni mwa washirika wa jamii
Wakati tunakaribisha michango kwenye ukurasa wetu wa facebook, hatuthibitishi maudhui ya michango hiyo
Michango lazima iendane na sheria na masharti ya mtandao wa ABS na sera ya faragha ambavyo vimeunganishwa hapa chini. Sheria na mashari ya mtandao
sbs.com.au/terms
Sera ya faragha
sbs.com.au/privacy

Australia ni nchi kubwa yenye mandhari mbali mbali, k**a unampango waku fanya safari ya barabarani, kuna mambo unastahil...
28/09/2026

Australia ni nchi kubwa yenye mandhari mbali mbali, k**a unampango waku fanya safari ya barabarani, kuna mambo unastahili jua, bofya hapo chini kwa taarifa kamili..

Australia ni nchi kubwa na yenye mambo mengi ya kuvutia ya kugundua, lakini kuendesha gari katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali kunaweza kuhusisha hali ambazo huenda usikutane nazo mijini. Kujua nini cha kutarajia na jinsi ya kujiandaa kunaweza kusaidia kusafiri kwa usalama zaidi na kwa…

Waafrika wanao ishi Sydney, NSW wafunguka kuhusu tamasha ya filamu zaki Afrika... bofya hapo chini kwa taarifa kamili.
25/09/2026

Waafrika wanao ishi Sydney, NSW wafunguka kuhusu tamasha ya filamu zaki Afrika... bofya hapo chini kwa taarifa kamili.

Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.

Ripoti mpya inayo onesha michango yawa Afrika nchini Australia yazinduliwa.. bofya hapo chini kwa taarifa kamili.
22/09/2026

Ripoti mpya inayo onesha michango yawa Afrika nchini Australia yazinduliwa.. bofya hapo chini kwa taarifa kamili.

Mh Dkt Kosgei aelezea uzoefu wake kuishi na ulemavu. Bofya hapo chini kwa mahojiano kamili...
17/09/2026

Mh Dkt Kosgei aelezea uzoefu wake kuishi na ulemavu. Bofya hapo chini kwa mahojiano kamili...

Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu k**a mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.

Wahamiaji wenye asili ya Burundi nchini Kenya, wakimbilia katika ubalozi wao kuomba vibali vyakurejea kwao...
08/09/2026

Wahamiaji wenye asili ya Burundi nchini Kenya, wakimbilia katika ubalozi wao kuomba vibali vyakurejea kwao...

Nchini Kenya, ukosoaji umekuwa ukiongezeka tangu tangazo la Rais William Ruto Jumatano iliyopita. Alisema kwamba biashara ndogo ndogo zinazoendeshwa na wageni nchini Kenya lazima zifunge kuanzia Jumatatu, Septemba 7.

Je! CCM imechukua hatua sahihi kumfuta uanachama Dkt Nchimbi? changia maoni yako hapo chini...
28/08/2026

Je! CCM imechukua hatua sahihi kumfuta uanachama Dkt Nchimbi? changia maoni yako hapo chini...

Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM umemvua uanachama Emmanuel Nchimbi na kumpitisha Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kujaza nafasi ya Makamu wa Rais.

Mamlaka wajipata chini ya shinikizo kupata majibu kwa ajali ya helikopta...
24/08/2026

Mamlaka wajipata chini ya shinikizo kupata majibu kwa ajali ya helikopta...

Watu saba, wakiwemo raia watano wa Marekani na mkuu wa ujasusi wa Ecuador, wamefariki baada ya helikopta ya watalii kuanguka karibu na Mlima Ololokwe, katika kaunti ya Samburu nchini Kenya.

Je! unajua haki zako unapokuwa na muingiliano na polisi nchini Australia? bofya hapo chini kwa taarifa kamili..
07/08/2026

Je! unajua haki zako unapokuwa na muingiliano na polisi nchini Australia? bofya hapo chini kwa taarifa kamili..

Maafisa wa jeshi la polisi wana mamlaka mbalimbali ya kiutendaji ambayo wanaweza kuyatumia chini ya sheria, ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali, kutoa maelekezo ya 'kutoka ulipo' na kufanya upekuzi. Haya ndiyo unayohitaji kujua kuhusu haki na wajibu wako wa msingi katika mwingiliano wa polisi.

Je! una elewa jinsi viwango vya riba vinavyofanya kazi? bofya hapo chini kwa taarifa kamili..
04/08/2026

Je! una elewa jinsi viwango vya riba vinavyofanya kazi? bofya hapo chini kwa taarifa kamili..

Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Australia kimepungua, lakini shinikizo la bei la msingi linabaki kuwa juu sana.

Je! Kenya inajiandaa kwa mlipuko wa Ebola? changia maoni yako hapo chini.
28/07/2026

Je! Kenya inajiandaa kwa mlipuko wa Ebola? changia maoni yako hapo chini.

Kenya imepokea shehena ya kwanza ya tani 4.5 za vifaa vya matibabu kutoka kwa serikali ya India, ili kuimarisha uwezo wa nchi kujiandaa kukabiliana na uwezekano wa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

Address

14 Herbert Street
Artarmon, NSW
2064

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SBS Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SBS Swahili:

Shortcuts

Share