18/09/2026
Kwa huzuni, Jumuiya ya Wakongo SYDNEY AUSTRALIA NSW inatangaza kifo cha Dr Jean Pascal Tshiamala. Kilichotokea Leo 18/09/2026 baada ya kulazwa hospitalini kwa mda .
Tunatoa pole kwa familia.
Kwa Mawasiliano: Mrs Minyon Tshiamala – +61 405 176 563
Taarifa za mazishi zitatolewa baadaye.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.