
21/12/2023
Shamba la Wakimbizi la fyekwa ?
Hapo ni nchini Tanzania.
Ni kuwajulisha tu Wakimbizi kambini BURUNDI, wawe na masikizano na wenyeji kabla ya kupanda mimea yao. Na Waheshimu Sheria. Ususani kwa wale wanaokua na miradi ya Kulima. Wapamde kwa Utaratibu wa Sheria.
Shauri pia kwa Wakimbizi wa Kambi la Nyankanda waheshimu Sheria na wawe namasikizano na wenyeji kwa kupanda. Wasije wakahomba hektari Zao za shamba.
Tafadhali pandeni mimea kwa Utaratibu ya Sheria.
📸MA Tv. Tanzania