Radio Burundi RTNB

  • Home
  • Radio Burundi RTNB

Radio Burundi RTNB ni kituo rasimi cha habari kutoka jiji la bujumbura,burundi http://www.rtnb.bi

Ujumbe kwa Taifa
30/06/2025

Ujumbe kwa Taifa

 : Karibu katika mpango wa Lugha ya Kiswahi kipindi ni Ulimwengu wa Michezo:Tuliyonayo ni pamoja na:->>Timu ya Taifa la ...
07/06/2025

: Karibu katika mpango wa Lugha ya Kiswahi kipindi ni Ulimwengu wa Michezo:
Tuliyonayo ni pamoja na:-
>>Timu ya Taifa la Burundi jana imecheza mechi ya kirafiki tayari.
>>Habari za hapa na kule utazipata hapa hapa.
>>Ni Ureno dhidi ya Uhispania katika Kombe la mataifa ulaya.

Uko nami Niyongere

Karibu katika mpango wa Amuka Salama sehemu ya pili na tatu, Kupitia Idhaa ya Kiswahili Ya Radio Burundi-RTNB. Waamshe M...
22/02/2025

Karibu katika mpango wa Amuka Salama sehemu ya pili na tatu, Kupitia Idhaa ya Kiswahili Ya Radio Burundi-RTNB. Waamshe Mabingwa kwa Simu +25722221711

📷 StudioNkwirikiye Msekeza Eliphaz Nkwirikiye Msekeza Eliphaz

 : 📍 BURUNDI - DIPLOMASIA YA UCHUMIBalozi wa Burundi nchini Washington DC Jean Bosco BAREGE, akifuatana na ujumbe kutoka...
21/02/2025

: 📍 BURUNDI - DIPLOMASIA YA UCHUMI

Balozi wa Burundi nchini Washington DC Jean Bosco BAREGE, akifuatana na ujumbe kutoka Burundi, akiwemo Mkuu wa Ofisi ya Tafiti za Kimkakati na Maendeleo (BESD) Bw Alain NDIKUMANA na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Burundi ya Migodi na Machimbo (OBM) Bw. Quesnay de Jésus AKABAHINGA, walishiriki katika mkutano wa 1 wa Migodi ya U.S.

Tukio hili lilitoa jukwaa la kuchunguza fursa za kuongezeka kwa ushirikiano na kujadili umuhimu wa kimkakati wa madini muhimu katika kukuza ushirikiano wa kimataifa.

Kando ya mkutano huu, Balozi Jean Bosco BAREGE na wajumbe wa Burundi walishiriki katika majadiliano yenye tija na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Idara ya Ulinzi, Idara ya Nishati na Benki ya Mauzo ya Nje ya Marekani.

Siku iliisha kwa majadiliano yenye manufaa na Silverado Policy Accelerator, shirika ambalo lengo lake linalenga kutatua changamoto za kijiografia katika maeneo muhimu ya kimkakati k**a vile: usalama wa kibiashara na viwanda, usalama wa kiuchumi na ikolojia na Usalama Mtandaoni. Majadiliano yanayozingatia kuimarisha ubia katika nyanja ya madini muhimu kwa uendelevu wa kimataifa.




📷 RTNB Kiswahili

 : Kamati ya utendaji ya FFB ilikutana Ijumaa hii, Februari 21, 2025 katika makao makuu ya FFB. Mkutano huu uliongozwa n...
21/02/2025

: Kamati ya utendaji ya FFB ilikutana Ijumaa hii, Februari 21, 2025 katika makao makuu ya FFB. Mkutano huu uliongozwa na Rais wa FFB Jenerali Bde Pol MUYENGE Alexandre na mambo manne yalikuwa kwenye ajenda:

- Mashindano ya kimataifa yaliyopangwa kufanyika Februari na Machi
- Ripoti ya maendeleo ya Ligi ya Primus Burundi 2024-2025
- Ripoti ya maendeleo ya Kombe la Rais 2025
- Ukaguzi, mwaka wa fedha 2024.

Radio Burundi RTNB FFB

  Taarifa Kutoka Shirikisho la Mpira wa Burundi
19/02/2025

Taarifa Kutoka Shirikisho la Mpira wa Burundi

 : Karibu Sana Kwenye Kipindi cha Watoto Kupitia Idhaa ya Kiswahili Ya Radio Burundi RTNB.Leo tunazungumzia Kuhusu Uvivu...
16/02/2025

: Karibu Sana Kwenye Kipindi cha Watoto Kupitia Idhaa ya Kiswahili Ya Radio Burundi RTNB.
Leo tunazungumzia Kuhusu Uvivu kwa Watoto! Je, Uvivu Ni kitu gani? Zungumuza na Watoto hapa Studio.
Uko na Mjomba wa Watoto Eliphaz Msekeza Nkwirikiye

Mpango wa Amuka Salama sehemu ya Tatu! Karibu sana uweze kuwaamusha Ndugu, Jamaa na rafiki kupitia Radio Ya RTNB. Uko na...
15/02/2025

Mpango wa Amuka Salama sehemu ya Tatu! Karibu sana uweze kuwaamusha Ndugu, Jamaa na rafiki kupitia Radio Ya RTNB.
Uko na Matangazi Nkwirikiye Msekeza simu +25722221711

07/02/2025

Rukinzo F.C 🆚 Moso Sugar
Live Radio Burundi-RTNB
pprimus league

Group C AFCON 2025Tanzania, Uganda Tunisia na Nigeria wanakamilisha Group C, Nini maoni yako? Tukutane Jumatano kwenye K...
27/01/2025

Group C AFCON 2025

Tanzania, Uganda Tunisia na Nigeria wanakamilisha Group C, Nini maoni yako? Tukutane Jumatano kwenye Kipindi cha michenzo

   Vs Real Madrid
26/10/2024

Vs Real Madrid

  Madrid Vs Barcelona
26/10/2024

Madrid Vs Barcelona

Address


Telephone

+25722221711

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Burundi RTNB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Burundi RTNB:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share