05/08/2020
💡WANAOMBA SEREKALI IWAREJESHE BURUNDI
➖Zaidi ya warundi 200 wamekwama jijini Dubaï sababu ya virus vya corona , ivi karibuni wameililia serekali ya Muheshimiwa iweze kuwarejesha nchini kwao Burundi kabla ya tarehe 12 August 2020. Sababu
Serekali ya E.A.U imewapa kitimtimi kuwa kabla ya tarehe hio wawe wamesha ondoka ao wachukuwe visa ingine kwa dollars 700 sarafu ya Marekani.
➖La sivyo kila umoja kwa siku atanza kulipa faini takribani ya 250.000 sarafu ya Burundi ao ukik**atwa una kwenda jela. Huku wao maji ya mewafika shingoni wakidai kwamba , pesa iyo ni nadra kupatikana sababu tangu march 2020 hawana kazi ni bora warudi nyumbani.
➖Wamemaliza wakisema kua tayari wamesha katisha tickets zao kwenye shirika la ndege Kenya ✈️Airways , tatizo lipo kiwanja Ca Hayati Ndadaye jijini Bujumbura hadi sasa bado hakijafunguliwa rasmi.
⛔ Una yapi maoni kuhusu habari hii 🤷🏻♂️
🗣️Toa maoni , Sambaza , Penda 👍🏼
©️ 2020