Inkino

Inkino Comprehensive sports coverage within Burundi and around the world

Wa ubavu wangu.😋😋😋
17/04/2024

Wa ubavu wangu.😋😋😋

Taarifa kutoka shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania amesimamishwa kwa sababu y...
19/01/2024

Taarifa kutoka shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania amesimamishwa kwa sababu ya kauli yake aliyoitoa akidai kuwa Nchi ya Morocco ipanga matokeo yale ikishirikiana na Marefa wa mchezo wa Morroco dhidi ya Tanzania.

Takribani watu 47 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa kutokana na mafuriko katika eneo la Katesh na Gend...
03/12/2023

Takribani watu 47 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa kutokana na mafuriko katika eneo la Katesh na Gendabi wilayani Hanang mkoani Manyara.
Taarifa za awali zinasema kuporomoka kwa sehemu ya mlima Hanang ndio chanzo cha mafuriko hayo.
Aidha Wananchi wamesisitizwa kuhama katika maeneo hatarishi ikiwemo chini ya milima na katika maeneo ya mabonde.

Address

Chaussée Du Peuple Murundi
Bujumbura
257

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inkino posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category