Vumbi News Web TV

Vumbi News Web TV Vumbi News Web TV ni ukurasa wa kutangaza habari za idala zote

Mtihani,nisaidie jameni
14/02/2023

Mtihani,nisaidie jameni

SALAMU ZA RAMBIRAMBIXi Jiping anatoa salamu za rambirambi kwa ma Rais wa Uturuki na Syria baada ya tetemeko kubwa kusaba...
13/02/2023

SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Xi Jiping anatoa salamu za rambirambi kwa ma Rais wa Uturuki na Syria baada ya tetemeko kubwa kusababisha Vifo na majeraha nchini humo.
Habari hii ni kwa mjibu wa CRI Kiswahili

   : Walikamatwa na Katibu tarafa ya   mkoani   wakinywa pombe majira ya satatu asubuhi.Wote walipelekwa kusafisha barab...
10/02/2023

: Walikamatwa na Katibu tarafa ya mkoani wakinywa pombe majira ya satatu asubuhi.Wote walipelekwa kusafisha barabara.Katibu tarafa ya Bukemba anatahadharisha raia kwamba atakayekiuka sheria atachukuliwa vikwazo.Masaa ya kufungua kirabu ni saa tisa alasiri.

Address

Ngozi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vumbi News Web TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category