Simulizi Planet

Simulizi Planet Sikiliza simulizi tamu za kusisimua, kuelimisha na kuburudisha.

Tunajifunza mengi kupitia simulizi.
02/10/2025

Tunajifunza mengi kupitia simulizi.

Uliharibu sana ndugu. Ila bado una nafasi ya kurekebisha makosa, omba msamaha kwa Mungu na kisha pambana kumsaidia jamaa...
01/07/2025

Uliharibu sana ndugu. Ila bado una nafasi ya kurekebisha makosa, omba msamaha kwa Mungu na kisha pambana kumsaidia jamaa yako ili apate kazi ya zaidi ya 8M. Hiyo ndio itakupa amani. Wewe uliishawahi mfanyia kitu gani kibaya rafiki yako? Tuma ujumbe wako kwenye link hii: https://t.co/C9e4rmvKw5

Kitu gani ambacho unajutia uliwahi kumfanyia rafiki yako? Ilikuaje? Tupe story kidogo na wengine wasifanye kosa k**a lak...
01/07/2025

Kitu gani ambacho unajutia uliwahi kumfanyia rafiki yako? Ilikuaje? Tupe story kidogo na wengine wasifanye kosa k**a lako. Bonyeza link hii na kisha tupe kisa chako, hamna atakayekujua: https://confess.ngl.link/simuliziplanet

Una kısa gani ambacho kiliwahi kukutokea maishani na hutaweza kukisahau mpaka leo? Tutumie story yako kwa kutumia link h...
07/28/2024

Una kısa gani ambacho kiliwahi kukutokea maishani na hutaweza kukisahau mpaka leo? Tutumie story yako kwa kutumia link hii: https://ngl.link/simuliziplanet
Vipi kwenye huu mkasa wewe ungeweza kuukwepa?

Maisha ni kusaidiana. Urafiki wa aina hii ndio unaotakiwa. Vipi wewe na rafiki yako/zako mlifanyiana nini kizuri au kiba...
07/25/2024

Maisha ni kusaidiana. Urafiki wa aina hii ndio unaotakiwa. Vipi wewe na rafiki yako/zako mlifanyiana nini kizuri au kibaya? Tuma story yako kwenye link hii: https://ngl.link/simuliziplanet

Simulizi yako ni funzo na mkombozi kwa wengine. Karibu na share nasi simulizi yako kuhusu maisha kwa ujumla, kazi na mah...
07/25/2024

Simulizi yako ni funzo na mkombozi kwa wengine. Karibu na share nasi simulizi yako kuhusu maisha kwa ujumla, kazi na mahusiano. Story yako tutairusha katika mitandao yetu ya kijamii. Bonyeza 👇 kutuma story yako ya kweli kimaisha.

: send me anonymous messages!

Address

Thornbury, ON

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simulizi Planet posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simulizi Planet:

Share