Swahili Football Academy

Directions

Swahili Football Academy Global Interview Series | Real Stories Beyond Borders
Karibu Sauti za Ughaibuni, mahali ambapo maisha halisi hukutana na simulizi zinazogusa moyo.

12/08/2026

๐ŸŽ“๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Masaa 24 ya kazi kwa wiki hayatoshi kujikimu k**a mwanafunzi Canada.
Lakini kwanini? Na maisha halisi yakoje? ๐ŸŽ™๏ธ๐ŸŒ

Sikiliza simulizi hii kwenye Sauti za Ughaibuni.

29/07/2026

๐ŸŒ Hadithi ambazo hazifundishwi darasaniโ€ฆ zinasimuliwa hapa.

27/07/2026

๐ŸŽ™๏ธ Kila sauti ina hadithi. Usikose simulizi zinazogusa maisha.

๐Ÿ“บ Subscribe kwenye YouTube: na washa ๐Ÿ”” ili uwe wa kwanza kupata kila episode mpya.

  SE 1 EP 2 Part 3 Ni Kweli Serikali  Kuna Vitu haifanyi,Ni Ngumu kupata Ajari
21/07/2026

SE 1 EP 2 Part 3 Ni Kweli Serikali Kuna Vitu haifanyi,Ni Ngumu kupata Ajari

Episode ya Pili ya Sauti za Ughaibuni inakuletea simulizi ya kweli ...

๐ŸŽ™๏ธ Wengine waliondoka na ndoto. Wengine walikutana na uhalisia.Endelea ulipoishia ๐Ÿ‘‰Episode ya Pili part02 ya Sauti za Ug...
18/07/2026

๐ŸŽ™๏ธ Wengine waliondoka na ndoto. Wengine walikutana na uhalisia.

Endelea ulipoishia ๐Ÿ‘‰Episode ya Pili part02 ya Sauti za Ughaibuni, simulizi ya kweli itakayokufanya uone maisha ya ughaibuni kwa mtazamo tofauti.

โ–ถ๏ธ Tazama sasa na usisahau kushare na wengine.

Kuna hadithi ambazo hazisikiki kwa sauti kubwa, lakini hubadilisha ...

Follow us on TikTok ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
18/07/2026

Follow us on TikTok ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

2 Followers, 6 Following, 14 Likes - Watch awesome short videos created by Sauti_za_ughaibuni

Tangazo Muhimu kwa Mashabiki na Wafuasi WetuTunapenda kuwajulisha kuwa kuanzia leo, Swahili Football Academy imebadilish...
18/07/2026

Tangazo Muhimu kwa Mashabiki na Wafuasi Wetu

Tunapenda kuwajulisha kuwa kuanzia leo, Swahili Football Academy imebadilisha jina na sasa itajulikana k**a Sauti za Ughaibuni.

Mabadiliko haya ni sehemu ya mpango wetu wa kupanua huduma, kuongeza maudhui ya kijamii, na kuleta hadithi za vijana wetu kwa ulimwengu kwa njia pana zaidi.
Lengo letu linaendelea kuwa lile lile: kuendeleza vipaji, kuhamasisha jamii, na kutoa majukwaa ya ukuaji.

Jina jipya, dira mpya, lakini moyo ule ule.

Tunawashukuru kwa kuendelea kutuunga mkono.
Endeleeni kufuatilia ukurasa huu kwa taarifa, matukio, na maudhui mapya kutoka Sauti za Ughaibuni.

17/07/2026

๐ŸŒ Kuna hadithi zinazostahili kusikika.

Karibu Sauti za Ughaibuni, mahali ambapo maisha halisi hukutana na simulizi zinazogusa moyo.

๐ŸŽ™๏ธ Episode mpya zinakuja hivi karibuni. Uko tayari kusikiliza?

Address

Vancouver, BC
V5V3C9

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Football Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share