Mantiki TV Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Mantiki TV, Chaîne de télévision, Molongwe, Bukavu.

🚨🇨🇩 Ces jeunes, enrôlés de force aujourd’hui par les rebelles du    serviront la   demain dans les rangs des  .Malgré ce...
11/02/2026

🚨🇨🇩 Ces jeunes, enrôlés de force aujourd’hui par les rebelles du serviront la demain dans les rangs des .
Malgré ces scénarios montés par le caporal , c’est peine perdue.
Ces rebelles finiront par se rendre aux , comme leurs alliés l’ont fait.

Découvrez d'autres informations sur notre page whatssap👇👇
Uvira La Présidence RDC Moma Fataki Habari na matukio Matangazo.kk

Ituri: Raia wawili wa jamii ya Wapygmée waliotekwa na ADF wapatikana wameuawaRaia wawili wa jamii ya Wapygmée, waliokuwa...
10/02/2026

Ituri: Raia wawili wa jamii ya Wapygmée waliotekwa na ADF wapatikana wameuawa
Raia wawili wa jamii ya Wapygmée, waliokuwa mateka wa waasi wa ADF tangu tarehe 6 Februari 2026, wamepatikana wakiwa wamefariki tarehe 9 Februari huko Abulembi, katika kijiji cha Bwanasura/Otomabere, mkoani Ituri.
Kwa mujibu wa manusura mmoja, wahanga hao walikuwa wakirejea kutoka uwindaji walipokutana na wapiganaji wa ADF. Baada ya kukataa kutumiwa k**a waongoza njia (pisteurs), waliuawa papo hapo.
Walipofikishwa katika kituo cha kibiashara cha Bwanasura/Otomabere, hali ya majonzi makubwa iliwakumba jamaa na marafiki. Mjane wa Profesa Dunga aliokolewa baada ya kujaribu kujiua, alipogundua miili ya mume wake na mdogo wake, Mapimbo.

Uvira Habari na matukio Facebook Matukio
✍️✍️✍️

Mulenge kumeanza changamuka wanyarwanda wanaanza kuiomba serekali ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 kuwasaidiya wa...
10/02/2026

Mulenge kumeanza changamuka wanyarwanda wanaanza kuiomba serekali ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 kuwasaidiya warudi kwao Rwanda 🇺🇦
Mpaka sasa watu wanajiuliza mbona mwanzoni walikuwa najiita wanyamulenge

Uvira Habari na matukio Mr Gave Matukio Facebook @

Msanii wa    Ametangaza ujio wa ngoma yake mpiaMpaka sasa watu wengi wanajiuliza huyu wimbo ni wa aina GANI
10/02/2026

Msanii wa Ametangaza ujio wa ngoma yake mpia

Mpaka sasa watu wengi wanajiuliza huyu wimbo ni wa aina GANI

Goma: vigilance, Ce dimanche 8 février 2026, un important mouvement des forces RDF/M23 a été observé. Se trouvant à bord...
09/02/2026

Goma: vigilance, Ce dimanche 8 février 2026, un important mouvement des forces RDF/M23 a été observé. Se trouvant à bord de 70 camions Fuso, les combattants ont quitté leur centre d'entraînement Chanzu, situé à une dizaine de kilomètres de Bunagana, et ont rejoint la ligne de front.

Selon nos informations, ces véhicules devraient circuler de nuit

MANTIKI TV
S'ABONNE SUR YOUTUBE
FOLLLOW SUR FACEBOO

UVIRA : COMBATS À LWANGA, À 12KM , LES WAZALENDO SURPRENNENT LE M23/RDF CE 14/12/2025� Nouveau dans le streaming ou cher...
14/12/2025

UVIRA : COMBATS À LWANGA, À 12KM , LES WAZALENDO SURPRENNENT LE M23/RDF CE 14/12/2025

� Nouveau dans le streaming ou cherchant à passer au niveau supérieur ? Découvrez StreamYard et obtenez $10 de réduction ! �




TOKA MTANDAONI Ebu mfahamu msanii  charlesni Directeur,story whriter,producer,Editor Pia ni karibu mtendaji wa shirika l...
13/10/2025

TOKA MTANDAONI

Ebu mfahamu msanii charles
ni Directeur,story whriter,producer,Editor Pia ni karibu mtendaji wa shirika la Accfti ikiwa na mahana AC COMPANY FAITH IN TOMOROW INCOURPORETED

Hii ni compuny ilio zaa vipaji vingi Sanaa uvira na Fizi nakuvifanya kuwa n'a heshima kubwa nje n'a ndani ya D.r. congo

Kutokana n'a post yake ameweka wazi yuko katika mahadanlizi yakuashia film mpia Bahadae ya

NEGATIVE MIND nifilamu peke ambayo iliwania katika kipengele cha best chort movie East Africa katika

NILIKOTOKA hii nifilamu iliochukuwa tunzo ya BEST FILM SOUTH KIVU

Mpaka sasa ajatanza jina la filamu hiyo itakayotoka soon

Pia amepongeza team yake ya production pamoja na wasanii wake

Hii inaonekana kuwa kazi kubwa kuliko zote

Mr Gave Prof mirror Mantiki TV Ishara Classic Business "ICB" Black Team Music matukio_muhimu Mudathiri Yahya Abas AFRO nation Kalemie Animal Planet BD Uvira ZAMO MUSIC FAN BUZZ Richmond Waridi Khan official

Ngoma ya   YAKE  Prof mirror alio mshirikisha msanii Mr Gave imeachiwa rasmi leo vipi wewe k**a shabiki wa mzik wa uvira...
27/09/2025

Ngoma ya YAKE Prof mirror alio mshirikisha msanii Mr Gave imeachiwa rasmi leo vipi wewe k**a shabiki wa mzik wa uvira towa maoni Yako Nani aliemfakamia mwenzie kwa mashahiri na mellody

tunasoma coment

Uvira
Plus Tv
#

 😭Katika milima ya nyangezi kuna mzalendo mmoja ambaye alivua viatu ,kifo hicho kili sababishwa na mkewe ambaye anasadik...
24/09/2025

😭

Katika milima ya nyangezi kuna mzalendo mmoja ambaye alivua viatu ,kifo hicho kili sababishwa na mkewe ambaye anasadikika kwamba naye ni mzalendo

kitendo hicho cha uzuni kina tufanya kuwaomba wa kuu wote wa wazalendo na wa FARDC kukataza watu wao kushiriki agina yote hile ya mapenzi wakiwa kwenye oparesheni za kivita

sio huyo kijana tu,hata kwenye milima yenye kuinukia kaziba katika eneo hiitwayo na bumbu, na miti mbili wanajeshi wa jeshi la Fardc wapatikanao katika eneo hilo wengi wao wako na wana wake, wengine ni wajawazito na adui iko kwenye kilomita sita (6) na hapo walipo, watu wakaziba wana litambua hilo vizuri,sasa iki tokea wana vamiwa ,wata kabiliana na adui kwanza? ao wata saidia wake zao?

maoni yako wewe unaye fata hii habari na k**a ni mara yako ya kwanza kupata habari zetu usikose kuji abonné kwenye compte yetu ili uwe na pata habari zetu zenye kuchunguzwa kwa wakati sahii

TV

Msanii wa mkubwa jijini Uvira Mr Gave atupa Dongo kubwa kupitia ukurasa wake wa Facebook uku akilinganisha wimbo wake wa...
28/08/2025

Msanii wa mkubwa jijini Uvira Mr Gave atupa Dongo kubwa kupitia ukurasa wake wa Facebook uku akilinganisha wimbo wake wa MONEY kuwa ndo wimbo pekee unaolinganishwa n'a nyimbo mia amsini (150)

Ebu soma alicho kiandika
Ubora wa huu wimbo wetu wa 🎶🔥 sio tu kwa kufanya vizuri YouTube na mtaani ubora wake mwengine ni ile kuulinganishwa na Ngoma 150 mjinii 😋😂🫣🏃🏾‍♂️

🎶🔥Hit song 👇🏽👇🏽👇🏽

https://youtu.be/gRUIrGlSBds?si=lH5DMKRRVKn-HdCy

MANTIKI MEDIA
Habari na matukHabari na matukiogaMatukioMatangazo.kk

22/08/2025
Unamfahamu kwa jina gani?Ao ushawai kumuona wapi ⁉️ ao ni mtangazaji kwenye radio gani apa kwetu kalemie Tanganyika 🔥👌🥰🥰...
22/08/2025

Unamfahamu kwa jina gani?
Ao ushawai kumuona wapi ⁉️ ao ni mtangazaji kwenye radio gani apa kwetu kalemie Tanganyika 🔥👌🥰🥰🥰🥰

Adresse

Molongwe
Bukavu

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Mantiki TV publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager