20/02/2026
: KUPOTEA KI MAAJABU YA VIUNGO VYA KIUME
Kutoka hadithi hadi ukweli.
Ijumaa hii, tarehe 20 Februari 2026 asubuhi, mjini Kalemie, polisi wamemtia mbaroni mtu mmoja anayetuhumiwa kuhusika na vitendo vya kishirikina vya kupotea kwa viungo vya kiume.
Mtuhumiwa huyo bado anashikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Fateni ushuuda ya mfungwa 👇🏼