19/09/2015
Tunawasalimu nyinyi wote.
Page hii yaki jamii ilijariba kujifunza "NINI INAYOTUMA au SABABU GANA WASANI WA FILAMA ZA Bk MovieS HAZITEMBEE au KUUZIWA GISI ZINAPASHWA UZIWA"
tulijaribu tembereya wa igizaji tofauti kwa kuskia nini tatizo??
uwezo tunao , ujuzi tunao , masomo tunayo, nabingenevyo.....
mwandishi wa page hii alipana majibu kwamba Waigizaji wetu chakwanza 1.HAWAJIAMINI
2.WANAPUPA
3.HABAPENDI IIGA
. .......
Mmoja alise k**a yeye ni muigizaji na ni mwalimu wakundi furani, hakupenda jitamburisha alisema k**a "cinéma za Bk MovieS nikujifurahishatu yaani wanacheza kwajuu muma cité zao wawaone yaani wanafananisha filama na théâtre. hawajui maana yafilamu, filamu nikazi nduguzangu amukeni
mfano wakina Kanumba, Oproh, Paul Nigerian nawengini wapo! haiko kusema k**a sisi watuwezi kuko wenye wanawezaga ndio! "alisema.
Alipo ulizwa nani unamkubali katika yawa igizaji wa Bk MovieS
alitaja wastaa ....?
" mimi k**a mimi nampenda saana jama mmojaaa .. Anglebert" alisema www
Your ultimate source for new movies. From movie trailers and reviews to movie times and tickets, Movies.com has everything you need to know about movies online.