Mapya sud kivu 2

  • Home
  • Mapya sud kivu 2

Mapya sud kivu 2 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mapya sud kivu 2, Média, kabulimbo, .

SISI NI MEDIA KIMATAIFA TUNAFAZA PROMO YA KAZI YOYOTE TUNAPATIKANA CONGO🇨🇩 KIVU

Namba yetu ya WhatsApp 0837871798

https://youtu.be/qH67fYUC_kc?si=xUTO-wwK7FxQIZjT

  🗣️ Top five label akuna chaajabu sana walicho nisaidia kwani tumesaidizana kupitia wao watu wamejuwa joelike nakupitia...
04/11/2025

🗣️ Top five label akuna chaajabu sana walicho nisaidia kwani tumesaidizana kupitia wao watu wamejuwa joelike nakupitia Joelike watu wamejuwa , na kwenye ma swala ya kazi collaboration zote ni nguvu zangu mimi ndo nilikua natafuta connexion,

Pia booking zote Zama concert ilikua ni efforts zangu k**a nimepiga 🗣️ Top five label akuna chaajabu sana walicho nisaidia kwani tumesaidizana kupitia wao watu wamejuwa joelike nakupitia Joelike watu wamejuwa , na kwenye ma swala ya kazi collaboration zote ni nguvu zangu mimi ndo nilikua natafuta connexion,

Pia booking zote Zama concert ilikua ni efforts zangu k**a nimepiga kalemie, Lubumbashi, Kindu.... Ni connexion zangu.....

So mimi nimeaamuwa kutoka kuwaachia kila kitu nianze vyangu upya ao k**a wanataka nirudishe gharama ya nyimbo tatu nilizo zifanya nikiwa chini ya uongozi wao ndawarudishia hizo pesa.... Amesema msanii kwenye live yake tiktok juma mosi iliyo pita, Lubumbashi, Kindu.... Ni connexion zangu.....

So mimi nimeaamuwa kutoka kuwaachia kila kitu nianze vyangu upya ao k**a wanataka nirudishe gharama ya nyimbo tatu nilizo zifanya nikiwa chini ya uongozi wao ndawarudishia hizo pesa.... Amesema msanii kwenye live yake tiktok juma mosi iliyo pita

Leo tunarudi kuongeleya alicho kifanya msanii Achillian  msanii huyu amefanya kitu ambacho sicha kawaida sana kwenye ind...
04/11/2025

Leo tunarudi kuongeleya alicho kifanya msanii Achillian msanii huyu amefanya kitu ambacho sicha kawaida sana kwenye industry ya mziki wa Uvira yaani msanii mkubwa kufanyia mwenzie challenge nakuwaomba ma fans waende wafatilie kazi hiyo

Kupitia ukrasa wake wa Facebook baada ya Mr Gave kuachia ngoma yake achillian amemupongeza sana kwamba amefanya kazi nzuri sana, huu upendo ndo unao itajika kwenye mziki wa Uvira ili angalau muwe k**a ma ville zengine wanavyo sapotiana kwaku push mziki wao kwani mmoja akifanikiwa ni industry nzima ndo inafanikiwa !

raiya  wanaishi uko   wanalalamika sana somo ujumbe kutoka uko maneo ya   apo chini 👇Alinyakua mamlaka katika nchi iliyo...
04/11/2025

raiya wanaishi uko wanalalamika sana somo ujumbe kutoka uko maneo ya apo chini 👇

Alinyakua mamlaka katika nchi iliyoungana, akawaalika M23 na mjini , na kutia saini makubaliano nao. Leo, nchi imegawanywa.

Ukosefu wake wa uaminifu umemfanya asiwe na imani na viongozi wa mkoa.

Sasa anajaribu kuushawishi ulimwengu kuwa yuko tayari kutekeleza mikataba aliyotia saini. ndio tatizo; lazima tumuondoe madarakani ndipo tuanze mchakato wa kuunganisha nchi yetu.

ujumbe kutoka kwa raisi   uo apo chini 👇ili kuwatetea watu wangu, niko tayari kufanya lolote, hata kuwa mwanajeshi M23 😂...
04/11/2025

ujumbe kutoka kwa raisi uo apo chini
👇
ili kuwatetea watu wangu, niko tayari kufanya lolote, hata kuwa mwanajeshi

M23 😂😂

UVIRA Muji wa vipaji kundi ya BAGRESS MUSIC mujipange mana Mungini ya uvira inavamiwa asa na kundi ya Danger Music vijan...
03/11/2025

UVIRA Muji wa vipaji kundi ya BAGRESS MUSIC mujipange mana Mungini ya uvira inavamiwa asa na kundi ya Danger Music vijana wanasema k**a nyiye nitoto mbili nãaho ni toto mbili waliyo shindikana kwene melody

Musani tishiyo mujini uvira musani Mr alimasi yupo mbiyoni kuachiya video ya wimbo yake   Ulimufamu kupitiya wimbo yake ...
03/11/2025

Musani tishiyo mujini uvira musani Mr alimasi yupo mbiyoni kuachiya video ya wimbo yake

Ulimufamu kupitiya wimbo yake ipi tunasoma comment zenu apo chini 👈

🇨🇩🤝🇹🇿 HONGERA KUTOKA KWA FÉLIX TSHISEKEDI HADI SAMIA SULUHU HASSAN KWA UCHAGUZI WA MARUDIO TANZANIA. Kutoka Doha, Qatar,...
03/11/2025

🇨🇩🤝🇹🇿 HONGERA KUTOKA KWA FÉLIX TSHISEKEDI HADI SAMIA SULUHU HASSAN KWA UCHAGUZI WA MARUDIO TANZANIA.

Kutoka Doha, Qatar, ambako anaishi Jumapili hii jioni, Rais Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo amefahamu matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Tanzania, na kuthibitisha ushindi mkubwa wa Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa Nchi ya Kongo alimpongeza Bi Suluhu Hassan katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na kusifu uongozi wake na ukomavu wa kidemokrasia wa Watanzania. Alimtakia muhula mpya wenye mafanikio, wenye kujitolea kwa maendeleo na utulivu wa Tanzania.

Rais Tshisekedi alielezea matumaini yake kwamba DRC na Tanzania, mataifa mawili yanayohusishwa na historia, utamaduni na jiografia, yataendelea na kuimarisha ushirikiano wao wa pande mbili kwa manufaa ya wakazi wao.

👉 Fuata ukurasa wetu wa Selesking Ngoy Güēvärâ ili kupata habari kuhusu uhusiano wa kimataifa wa DRC na hatua za kidiplomasia.

🚨  : Corneille Nangaa anamkonyezea kidole Mkuu wa Nchi: "Ikiwa wewe ni mwanamume, njoo, bila AFC/M23, na ufungue tena uw...
03/11/2025

🚨 : Corneille Nangaa anamkonyezea kidole Mkuu wa Nchi: "Ikiwa wewe ni mwanamume, njoo, bila AFC/M23, na ufungue tena uwanja wa ndege wa ."

Musani kutokeya maneo ya kalemi musani Key White amechukuwa tuzo ya musani bora wa mwaka province ya Tanganyika award il...
03/11/2025

Musani kutokeya maneo ya kalemi musani Key White amechukuwa tuzo ya musani bora wa mwaka province ya Tanganyika award ilifanyika Jana

Muonekano mupya kutoka kwa musani tishiyo mujini uvira musani Jdd Mkali Wa Concordance ulimufamu kupitiya wimbo yake ipi...
03/11/2025

Muonekano mupya kutoka kwa musani tishiyo mujini uvira musani Jdd Mkali Wa Concordance ulimufamu kupitiya wimbo yake ipi kwasasa yupo kwene madalizi ya concert maneo ya kabidula pale kwene Salle ya MKC

03/11/2025

UH mwaka Kivu zima wimbo kali inatoka mujini uvira pamoja na video zuri inatoka Uvira kutoka kwa musani Mr Gave ipo disponible uko youtube twende tu enjoy Sasà wimbo zuri na video zuri

🛑🇨🇩🆘️VITA YA GOMA: Vikosi vya Wazalendo vyatenganisha mhimili wa SAKE-MINOVA-SHASHA Hivi karibuni vikosi vya Wazalendo v...
02/11/2025

🛑🇨🇩🆘️VITA YA GOMA: Vikosi vya Wazalendo vyatenganisha mhimili wa SAKE-MINOVA-SHASHA Hivi karibuni vikosi vya Wazalendo vilipiga hatua kubwa ya kimkakati kwa kukata mhimili unaounganisha SAKE, MINOVA na SHASHA hivyo kuimarisha nafasi zao mkoani humo.

Operesheni hii ni sehemu ya mashambulizi makubwa, yaliyopewa jina la "Operesheni Funnel," yenye lengo la kuwazingira na kuwatenganisha wapinzani wao. Kulingana na vyanzo vyetu, ni mji wa GISENYI pekee ndio umesalia kuwa ngome ya mwisho kufikiwa kabla ya njia zote za kutoroka kukatwa.

Uhusiano kati ya GOMA na BUKAVU umekatika kabisa, hivyo kukata njia muhimu ya maisha kati ya miji hii miwili muhimu. Zaidi ya hayo, ndege zisizo na rubani na vitengo vya ufyatuaji vimewekwa kwenye ziwa, tayari kuingilia kati ili kuimarisha unyanyasaji huu.

Address

Kabulimbo

Telephone

+243975676599

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapya sud kivu 2 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mapya sud kivu 2:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share