19/07/2026
: Baada ya kifo cha msani tayari chuki zimeibuka kwenye sanaa ya mziki wa uvira.
Msani Xender Swedy ameonekana mwenye kutofurahishwa na maneno ya msani Belami Muka na mwenzie Achillian Baada tu ya wasani awa kukataa katukatu kuja chungiya sauti na wasani wenzao kwenye wimbo wa msani ambae ni marehemu kwasasa. Kwa mjibu wa msani na wengine wasani wa mji.
Uku msani Xender Swedy akithibitisha rasmi kuwa msani achillian na belami muka wameongeza tena kutamuka nakusema kuwa " wasani kulala kwenye kilio cha msani mr gave niku jiaribishia Brand" kitu ambacho kilicho mufanya msani xender Swedy apate kuuzunika Zaidi na kutamuka maneno mabaya kwa wasani awa.
Maneno aya msani xender Swedy ameyaongea kwenye ukarasa wake wa WhatsApp susani kwenye status zake.
Wewe k**a mpendwa wa mziki mziki wa uvira, umechukuliaje ili swala la wasni awa kutamuka maneno ao.
Tukutane kwenye komenti 👇👇👇🐋
Mbindo Kiberwa Santos