Itinéraire

SABII News Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de SABII News, Création digitale, Kalundu, Uvira.

soon New son kutoka kwa Prof mirror
04/08/2026

soon New son kutoka kwa Prof mirror

Nili ba Ahidiya k**a Leo Njo nita bapatiya Titre Ya Ngoma yetu Mpya.

Titre Ni Ivi Karibuni Tunaanza Challenge

MAPYA UVIRA Mr Gave Achillian PROF Mirror Official KIVU FLEVER Mapya sud kivu 2 SEJE MEDIA Kivu Mapya Trends

04/08/2026

IVI TUKO MU BITU GANI?

Wadogo zangu Achillian Nawaomba Sana Tuwe Makini Na izi Post za ahina hii👇👇 Zisije fanya Tukasaahu Malengo yetu.
Nakumbuka Kabla Ndugu yetu Mareemu Mr Gave Ajatoweka Duniani Tulichukuwa Muda Mrefu sana Uku Tukijadiliyana Tufanye Nini Ili Muziki Wetu Uchukuwe Nafasi Ambayo ndugu zetu Wa Goma Wanayotaka kutunyanganya Kisa Kukosa kwetu Kuwa Pamoja.
Ivyo Tulipanga Mengi sana Na tukachukuwa Maamuzi Yakusema Kwamba .

Ivyo Tafadhalini sana Ichi kifo cha Mkubwa wetu Kisije kuwa Chanzo Cha sisi kusaahu Malengo Yetu Ndugu zangu.

Nikweli Muziki Unaitaji Ushindani Na Mengine...
ila Siyo kwa Mda Huu Ambao Bado Ata Nafsi Ya Kaka Hingali Pembeni yetu Uku ikiangalia K**a Alicho tuachiya Tutakifikishiya wapi...

Tukichukuwa Muda huu kwakulumbuna Sisi Kwasisi Tutafanya Ndugu yetu Alipo Asipumzike kwaamani.

Ayo Mengine Ya Iki na kile Ahu Uyu na yule Tuachiye Mungu Na Mashabiki Wenyewe Wa Amuwe.

Salama

Kivu Mapya Trends
MAPYA UVIRA

👇👇👇

30/07/2026

Avec Spider Google – Je figure pour la première fois sur sa liste des interactions hebdomadaires en faisant partie de ses followers les plus actifs !

30/07/2026

Avec H.A Karim – Je fais désormais partie de ses super fans !

30/07/2026

Avec NyAgo Man GM – Je fais désormais partie de ses super fans !

30/07/2026

Sikia kitu ambacho Spider alicho ongea kuusu wasani

30/07/2026

UVIRA
TUACHE UNAFKI
WAKATI MTU ALIKUWA HAI, ALIFANYA MA CRIS D'ALERTE MAIS ZERO RÉACTION. DUNIA NDO MONDE

Adresse

Kalundu
Uvira

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque SABII News publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager