
13/09/2024
Rafiki, Moja ya changamoto kubwa wanayoipitia watu wengi kwenye vifaa vya simu( phone accessories) ni kukosekana Kwa vifaa Bora vya simu (Phone accessories). Vifaa vingi vya simu havina ubora mkubwa unaopelekea watu wengi kupata changamoto nyingi ikiwemo battery kutokukaa na charge lakini pia charger ya simu kushindwa kupeleka charge Kwa kiwango kinachotakiwa pamoja na changamoto mbali mbali zinazotokea kwenye vifaa vya simu.
Kwa kuliona hilo, kampuni ya FLOATING ARK kupitia E.p & son's digital Arusha wanakuletea vifaa Bora na vya kisasa kabisa vya simu ya mkononi vyenye uhakika na vya Bei nafuu.
Kampuni imefanya utafiti wa kina kuhusiana na vifaa vya simu na kugundua tatizo kubwa walilonalo watu na kuja na suluhisho.
Kwa gharama kidogo tu unapata vifaa vilivyo Bora na vyenye uhakika.