28/10/2025
Leo kwenye Imarisha Jamii 💡
Ni nini nia yako ya kuanza biashara?
Je, ni kwa sababu huna pesa? Kwa sababu unahitaji pesa haraka? Au ni kwa sababu umeona mtu mwingine amefanya hivyo? 🤔
Nia yako ni muhimu.
Biashara inayodumu hujengwa juu ya kusudi, si shinikizo.
Anza kwa sababu umeona hitaji na unataka kusaidia watu kulitimiza. Hapo ndipo biashara inapata maana ya kweli. 💪🏽
:
: