NK Internet Radio Kiswahili

NK Internet Radio Kiswahili NK Internet Radio Kiswahili,
Ni redio ya mtandao inayolenga kuwafikia wasomi wote wa lugha ya kiswa

13/12/2020

HABARI ZA DUNIA

Tunakukaribisha kusikiliza habari za dunia moja kwa moja (Live)
Muhtasari wa habari za leo ni:
πŸ”΅ Marekani yaidhinisha chanjo ya BioNTech-Pfizer.
πŸ”΅ Uchaguzi wa Marekani 2020: Mahak**a kuu yakataa azma ya Trump ya kugeuza matokeo ya uchaguzi
πŸ”΅ Bayern Munichwinga wammezea mate winga wa Chelsea Callum Hudson-Odoi

NA KATIKA MICHEZO:
πŸ”΅ Na David Alaba aelekea kuhamia Real Madrid

Taarifa ya habari imesomwa na Khamis Kandy.

πŸ’™πŸ€ NK Internet Radio Kiswahili Cairo-Egypt
09/12/2020

πŸ’™πŸ€ NK Internet Radio Kiswahili Cairo-Egypt

02/12/2020

Wanamgambo wa kundi la Kiislamu la Boko Haram wametoa video mpya ambayo inasema wapiganaji wake wa Boko Haram ndio waliotekeleza mauaji ya wakulima 78 katika eneo la Zabarmari karibu na Maiduguri kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Jumamosi, wanaume waliokuwa na silaha waliotumia pikipiki na kutekeleza shambulizi la kinyama dhidi ya wakulima wa mashamba ya mpunga.

Wakati huohuo, wabunge wa Nigeria wamefanya mazungumzo na rais Muhammadu Buhari juu ya mauaji hayo, Wabunge hao wakisema suala hilo ni la kupewa umuhimu mkubwa.

Katika video iliyoonekana na BBC, Abubakar Shekau, kiongozi wa kundi la Boko Haram – aliyefunika uso wake – alisema kundi hilo lilitekeleza shambulizi dhidi ya wakulima wa mashamba ya mpunga wikendi iliyopita.

Aidha, Umoja wa Mataifa umefuta idadi ya waliojeruhiwa ya watu 110 iliyokuwa imetoa awali, na kusema kuwa idadi kamili ya walioathirika bado haijulikani.

Chanzo: Star TV

TANZIAπŸ”΅βšͺ️
25/11/2020

TANZIAπŸ”΅βšͺ️

AHMAD AHMAD: RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA BARANI AFRIKA CAF APIGWA MARUFUKU YA MIAKA 5 Rais wa Shirikisho la soka barani A...
23/11/2020

AHMAD AHMAD: RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA BARANI AFRIKA CAF APIGWA MARUFUKU YA MIAKA 5

Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika {Caf} Ahmad amepigwa marufuku ya miaka mitano na shirikisho la soka duniani Fifa kwa kukiuka sheria kadhaa za maadili.

: BBC

ABIY AHMED: VIKOSI VYA TIGRAY VIJISALIMISHE NDANI YA MASAA 72Waziri mkuu wa Ethiopia ametowa muda wa saa 72 kwa vikosi v...
23/11/2020

ABIY AHMED: VIKOSI VYA TIGRAY VIJISALIMISHE NDANI YA MASAA 72

Waziri mkuu wa Ethiopia ametowa muda wa saa 72 kwa vikosi vya jimbo la Tigray kusalimu amri kabla ya jeshi la serikali kuu halijaanza operesheni kubwa dhidi ya mji mkuu Mekelle.

: DW

19/11/2020

HABARI ZA DUNIA

Tunakukaribisha kusikiliza habari za dunia moja kwa moja (Live).

Studioni ni Khamis Kandy na Ripota Khansaa Mohamed.

15/11/2020

HABARI ZA DUNIA

Tunakukaribisha kusikiliza habari za dunia moja kwa moja (Live)
Muhtasari wa habari za leo ni:
πŸ”΅ Vikosi vya jimbo la Tigray vyaulenga mji mkuu wa taifa jirani la Eritrea
πŸ”΅ WFP yaonya juu ya baa la njaa mwaka ujao
πŸ”΅ Maafisa kadhaa wa Libya wasema katiba mpya ni muhimu kabla ya uchaguzi

Na katika mischezo
πŸ”΅ Manchester City inataka kumsajili Lionel Messi
Taarifa ya habari imesomwa na na Moharram Ally.

12/11/2020

HABARI ZA DUNIA

Tunakukaribisha kusikiliza habari za dunia moja kwa moja (Live)
Muhtasari wa habari za leo ni:
πŸ”΅ Kassim Majaliwa ateuliwatena kuendelea na uwaziri mkuu
πŸ”΅ Msumbiji yakana taarifa kwamba raia walikatwa vichwa na wanamgambo wa Kiislamu
πŸ”΅ Biden amchagua mshauri wake wa muda mrefu k**a Mkuu wa Utumishi

Na katika mischezo
πŸ”΅ Juventus iko tayari kubadilishana wachezaji ambapo mpango huo utamfanya winga wa Juvetus Christiano Ronaldo kujiunga na PSG
Taarifa ya habari imesomwa na na Khamis Kandy na Ripota Khansaa Mohamed.

10/11/2020

HABARI ZA DUNIA

Tunakukaribisha kusikiliza habari za dunia moja kwa moja (Live)
Muhtasari wa habari za leo ni:
πŸ”΅ Mwanasheria Mkuu Marekani aamuru uchunguzi kuhusu upigaji kura.
πŸ”΅ Wapiganaji wa Kiislamu: Wanajihad 'wawakata vichwa watu 50' Msumbiji
πŸ”΅ Walibya wafanya mazungumzo yanayosimamiwa na UN
πŸ”΅ Dondoo: Serengeti yashinda tena Tuzo ya Hifadhi bora Afrika 2020
πŸ”΅ Godbless Lema:Aliyekuwa mbunge wa Arusha aachiwa huru Kenya

Na katika mischezo
πŸ”΅ Tottenham wamepewa nafasi kumsajili Christian Eriksen.
πŸ”΅ Manchester United wamesitisha uamuzi kuhusu Sergio Romero.
Taarifa ya habari imesomwa na Sandy Samir na Moharram Ally.

Address

Cairo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NK Internet Radio Kiswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NK Internet Radio Kiswahili:

Share