Afro-voice tv

Afro-voice tv Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Afro-voice tv, Créateur de vidéos, Bègles.

Awa ni wasani wa canada ambao wanafanya Vizuri kwa upande wa mziki wao zaidi sana nimalegend wanaowakilisha kibembe kwen...
16/03/2026

Awa ni wasani wa canada ambao wanafanya Vizuri kwa upande wa mziki wao zaidi sana nimalegend wanaowakilisha kibembe kwenye mziki

Swali:ukiwa na show yako na unaitaji msani unaweza kumualika nani???
A.
B.

14/03/2026

Msani wa nyimbo za gospel ahonekana akishirikiana na msani wa nyimbo za kidunia .simba uku wakiimba wimbo wa
Je,ni jambo la halali ?? na pia umewapa asilimia ngapi????

14/03/2026

Imeibuka video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Totobad, kijana wa asili ya Kibembe anayefahamika pia kupitia jukwaa la TikTok.
Kwa mujibu wa taarifa zinazoambatana na video hiyo, kijana huyo anadaiwa kukutwa na mwanamke ambaye tayari ana ndoa. Tukio hilo linasemekana kutokea katika mji wa Atlanta, jimbo la Georgia nchini United States.
Inasemekana kuwa mwanamke huyo alikutwa na mume wake
akiwa pamoja na kijana huyo, jambo lililosababisha sintofahamu iliyorekodiwa kwa siri na kusambazwa mtandaoni.
Hata hivyo, hadi sasa haijafahamika kwa undani nini hasa kilitokea baada ya tukio hilo, kwani video iliyosambaa inaonyesha sehemu ndogo tu ya tukio hilo.
Aidha, inadaiwa kuwa kijana huyo alikuwa akifanya kazi k**a dancer wa msanii anayejulikana kwa jina la Bin justin. Kutokana na hali hiyo, tukio hilo limeibua mijadala mbalimbali mitandaoni, huku ukweli kamili wa kilichojiri bado haujawekwa wazi rasmi.

14/03/2026

Msani wa nyimbo za injili ameachia wimbo mpya uku akimshirikisha
Pitia kwenye YouTube yake ubarikiwe

Awa ndio wasani wa Canada watakao perfome nyimbo zao kwenye concert ya  itakayo fanyika   Vp utaenda kumshabikia nani???
11/03/2026

Awa ndio wasani wa Canada watakao perfome nyimbo zao kwenye concert ya itakayo fanyika
Vp utaenda kumshabikia nani???

11/03/2026

Wasani waungana kushambulia watu wa Tv kwamba wanawakosesha sapoti

Uhu ugonvi utaisha lini???

Baadhi ya wasani maharufu wa canada watakuwepo kwenye concert na wata perfome nyimbo zao Tariki 16/05/2026  .simba
10/03/2026

Baadhi ya wasani maharufu wa canada watakuwepo kwenye concert na wata perfome nyimbo zao
Tariki 16/05/2026

.simba

08/03/2026
08/03/2026

Mme wa aliwayi kukanusha kwamba yeye awezi pigana na mke wake bali anapigana na nguruwe za kazini kwao

Asante ma fans wa  🎤 tum fikisha subscribes 1k
07/03/2026

Asante ma fans wa 🎤 tum fikisha subscribes 1k

07/03/2026

Movie nzima ipo YouTube kwenye Chanel ya

Adresse

Bègles

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Afro-voice tv publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager