BBC Swahili

BBC Swahili Hii ni Idhaa yako na mtandao wako. Usisite kutoa maoni yako. website: www.bbc.com/swahili
(5713)

Kwanini Umoja wa Mataifa ulibadilisha ramani ya dunia?
07/09/2026

Kwanini Umoja wa Mataifa ulibadilisha ramani ya dunia?

Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulitoa wito wa kubadilishwa kwa ramani ya dunia inayotumika kwa sasa.

'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba
07/09/2026

'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba

Warioba ameyasema hayo katika mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili hali ya kisiasa nchini Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29 yaliyosababisha vifo vya watu 518.

Viumbe 10 hatari zaidi duniani
07/09/2026

Viumbe 10 hatari zaidi duniani

Ingawa viumbe wengi wanajulikana kwa kuwatisha watu, ni mmoja tu anayeshikilia nafasi ya kuwa hatari zaidi. Hasa zaidi, kiumbe huyu ndiye anayesababisha vifo vya watu wengi zaidi.

07/09/2026
Hafidh Ameir ni nani? Mume wa Rais Samia aliyekuwa nyuma ya pazia
07/09/2026

Hafidh Ameir ni nani? Mume wa Rais Samia aliyekuwa nyuma ya pazia

Miongoni mwa watoto wao ni Wanu Hafidh Ameir, mwanasiasa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Makunduchi na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia.

07/09/2026

'Alikuwa anashirikiana na watu k**a mwananchi wa kawaida'
-
Mume wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Marehemu Hafidh Ameir Hassan, amezikwa leo katika Makaburi ya Kizimkazi, Zanzibar.
-
Je wananchi wa Kizimkazi wana mzungumziaje?
-
-
-

Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, Man City zinamgombea Neto wa Chelsea
07/09/2026

Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, Man City zinamgombea Neto wa Chelsea

Pedro Neto, akivivutia vilabu kadhaa huku Chelsea ikipanga kumsajili kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, na Manchester United na Newcastle United zimeulizia kuhusu Christopher Nkunku.

07/09/2026

Mamia ya raia wa Burundi walifika katika ubalozi wa nchi yao jijini Nairobi, Kenya, Jumatatu, wakitafuta hati za kusafiria ili kurejea Burundi, baada ya Rais wa Kenya, William Ruto, kuagiza kukabiliana na wafanyabiashara wadogo kutoka nje ya nchi.

Wakiwa wamebeba masanduku na mali zao mbalimbali, umati mkubwa, wengi wao wakiwa vijana, ulijipanga kwenye foleni ndefu nje ya ubalozi huo.

Mwandishi wa BBC Ahmed Bahajj na taarifa zaidi
🎥 Baba Sibuor
-
-

"Waburundi waharakisha kuondoka Kenya kabla ya serikali kuanza msako dhidi ya wafanyabiashara ambao hawajasajiliwa."http...
07/09/2026

"Waburundi waharakisha kuondoka Kenya kabla ya serikali kuanza msako dhidi ya wafanyabiashara ambao hawajasajiliwa."
https://bbc.in/3Tm416B

Address

BBC
London
W1A1AA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BBC Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share