02/07/2025
Maneno mazito na yenye hekima kutoka kwa muongozaji (Director) wa tamthilia ya bwana Machupa akimuelezea kiundani mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa kikekupitia tuzo za ZIFF ambae pia ni muigizaji katika tamthilia ya kombolela. Video kamili tumekuwekea YouTube ya HATUA TV
KINDLY FOLLOW