Clear Tv

Clear Tv BROADCASTING COMPANY | MEDIA HOUSE | NEWS AGENCY | ENTERTAINMENT It was started in 2024 and it's mostly watched and loved by Kenyans.

Clear TV is a Kenyan free-to-air news and entertainment television channel owned by Denis Sitati and broadcasting mostly in English and Swahili.

"Acha tuchague viongozi ambao wanajali mkaazi wa chini k**a vile Hon Abdul Aziz Mulama anavyofanya." Tekno Tekno msaidiz...
30/07/2026

"Acha tuchague viongozi ambao wanajali mkaazi wa chini k**a vile Hon Abdul Aziz Mulama anavyofanya." Tekno Tekno msaidizi wa Mheshimiwa Abdul Aziz Mulama

06/06/2026

Governor Ken Makelo Lusaka on it again ���

01/06/2026

Gavana wa Bungoma Keneth Lusaka ampigia debe Rais William Ruto!

Gavana wa Kaunti ya Bungoma Mheshimiwa Kenneth Makelo Lusaka aomba amani wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ujao.Haya ya...
01/06/2026

Gavana wa Kaunti ya Bungoma Mheshimiwa Kenneth Makelo Lusaka aomba amani wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ujao.

Haya yanajiri baada ya kongamano la kuadimisha siku kuu ya madaraka katika Kaunti ya Bungoma, huku akimpigia debe Rais William Samoei Ruto.



28/05/2026

Hon AbdulAziz Mulama engaging with residents of Sulwe village Kamukuywa ward

Mzee Patrick Wangamati babake aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Bungoma Mheshimiwa Wycliffe Wangamati aaga dunia!Kulingana n...
18/05/2026

Mzee Patrick Wangamati babake aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Bungoma Mheshimiwa Wycliffe Wangamati aaga dunia!

Kulingana na familia Mzee amepoteza maisha usiku wa leo mwendo wa saa kumi usiku.

Seneta wa Bungoma David Wafula Wakoli, amezuru uwanja wa Masinde Muliro ulioko mjini Kanduyi ili kutizama hali na maende...
10/05/2026

Seneta wa Bungoma David Wafula Wakoli, amezuru uwanja wa Masinde Muliro ulioko mjini Kanduyi ili kutizama hali na maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo ila hatua zake zilifikia kinaya kwani ujenzi wa uwanja huo ulizidisha zamani huku vyumba vya uwanja huo vikifanywa afisi za watu fulani.

Aidha nyasi na magugu yamemea uwanjani humo huku wananchi wa kawaida wakishindwa kuingia uwanjani humo.



10/05/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Sharon Sifuna, Deno Wanjala, Augastine Nyongesa, Frank Ke, Robert Makabara

Je, inafaa viongozi ambao wamekuwa katika nyadhfa mbalimbali kuondoka na kuwapisha vijana?Mbunge wa Saboti Hon.Caleb Ami...
06/05/2026

Je, inafaa viongozi ambao wamekuwa katika nyadhfa mbalimbali kuondoka na kuwapisha vijana?

Mbunge wa Saboti Hon.Caleb Amisi anasema mfano Musalia Mudavadi amekuwa Waziri tangu akiwa na miaka 3 mpaka sasa na alishamaliza masomo hadi chuo kikuu na ni mbunge wa muhula wa pili.



Address

34 50204
Bungoma
50200

Telephone

+254748657106

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Clear Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Clear Tv:

Shortcuts

Share