Alvin Wafula

Alvin Wafula I came from Bungoma county,sirisia Division, Namwela location,Ng'oli village.

11/10/2025

God’s blessings are always bestowed upon those who yearn for the truth.

11/10/2025

Revelation 3:3 “If therefore you shall not watch, I will come on you as a thief, and you shall not know what hour I will come on you”

Revelation 16:15 “Behold, I come as a thief”

The Lord also said many times He’d return “as a thief.” So what does this “as a thief” mean?

Good morning my dear friends ❤️
11/10/2025

Good morning my dear friends ❤️

MOTO WA BWANA UVUNJE KILA UCHAWI JUU YAKO! 🔥Kila uchawi uliofanywa juu yako – iwe ni kwa ajili ya kuharibu mahusiano, bi...
12/09/2025

MOTO WA BWANA UVUNJE KILA UCHAWI JUU YAKO! 🔥

Kila uchawi uliofanywa juu yako – iwe ni kwa ajili ya kuharibu mahusiano, biashara, au ndoto zako – leo unafutwa kwa jina la Yesu! Umewahi jiuliza kwa nini:

Kila wiki lazima mgombane na mpenzi wako bila sababu ya msingi?

Mahusiano yako huishia tu bila kueleweka?

Biashara ulianza vizuri, wateja walikuwepo, lakini sasa kimya?

Kazi unafanya kwa bidii, lakini hakuna mafanikio?

Kumbe kuna mtu alikuwekea vizuizi vya kiroho! Lakini leo, kwa jina la Yesu, moto wa Bwana unaanza kuteketeza kila kazi ya giza!

💥 Kila kifungo cha kiroho kinavunjika sasa.
💥 Kila mipango mibaya juu yako inasambaratishwa.
💥 Kila laana ya kushindwa inageuzwa kuwa baraka.Kwa jina la Yesu kristo.

K**a unaamini andika “Amina”

Habari za asubuhi marafiki zangu 👋. Baraka ya kwanza ni kuamka na kumshukuru Mungu kwa maombi.Zaburi - Mlango 4:11 Ee Mu...
12/09/2025

Habari za asubuhi marafiki zangu 👋. Baraka ya kwanza ni kuamka na kumshukuru Mungu kwa maombi.

Zaburi - Mlango 4:1

1 Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Umenifanyizia nafasi wakati wa shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.

Unapo amka na kumuomba Mungu atasikia maombi yako na kukutendea yaliyo mema yenye haki na siku yako itakuwa ya baraka.

Good morning my friends!K**a umeamka salama tusalimiane 👋
11/09/2025

Good morning my friends!K**a umeamka salama tusalimiane 👋

Good morning my friends 😊, K**a umeona hii post tusalimiane.
10/09/2025

Good morning my friends 😊, K**a umeona hii post tusalimiane.

Never apologize to others for their misunderstanding of who you are
09/09/2025

Never apologize to others for their misunderstanding of who you are

09/09/2025

Mary Sam back-up

I love this girl so much.She is Kind, honest and respectful.

Good morning my dear friends.! hope mnaendelea vizuri!
27/08/2025

Good morning my dear friends.! hope mnaendelea vizuri!

Good night sweet dreams my dear friends
19/08/2025

Good night sweet dreams my dear friends

Kutoka 23:25 Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugon...
23/07/2025

Kutoka 23:25 Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako.Mmeshindaje Marafiki zangu,Bwana Yesu Kristo asifiwe!

Address

Namwela
Bungoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alvin Wafula posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Alvin Wafula:

Share