07/09/2026
ORIE ROGO MANDULI: THE TOTAL WOMAN WHO LEFT HER FOOTPRINTS IN KITALE ๐ฐ๐ช
Ukisema fashion, confidence, courage na wanawake waliokataa kuishi maisha ya kawaida, jina la Amb. Orie Rogo Manduli haliwezi kukosa kwenye historia ya Kenya. Kwa wengi, Orie Rogo Manduli alikuwa yule mama mwenye mavazi ya kipekee, colourful headwraps, jewellery kubwa na confidence ambayo ilikuwa impossible ku-ignore. Lakini nyuma ya fashion na public personality, kulikuwa na mwanamke aliyepitia maisha magumu, akaanguka, akainuka na akaamua kwamba dunia lazima imtambue kwa terms zake mwenyewe. Na kwa sisi wa Western Kenya, especially Kitale na Trans Nzoia, story yake ina chapter kubwa sanaโchapter ya land, farming na vision.
Orie Rogo Manduli alizaliwa mwaka 1948, na katika maisha yake ya awali aliwahi kujulikana kwa majina mengine kabla ya kuamua kujitambulisha k**a Orie Rogo Manduli. Alikuwa mwanamke ambaye hakupenda kufungwa na identity ambayo yeye mwenyewe hakuwa ameichagua. Inasemekana kwamba ukitaka kuanzisha disagreement naye, ungejaribu kumwita jina ambalo alikuwa tayari amelipatia farewell. Huyo alikuwa Orieโbold, direct na mwenye kujua exactly yeye ni nani.
Safari yake ya maisha haikuwa rahisi. Aliolewa akiwa bado mdogo sana, akiwa na miaka 16, akapata watoto watatu wa k**e na baadaye ndoa hiyo ikavunjika wakati bado maisha yalikuwa yanaanza. Lakini badala ya kusurrender, Orie aliamua life haitamdefine kwa suffering yake. Miaka baadaye, katika interview yake ya Citizen TV kwenye Newsmakers, alizungumza kwa honesty kubwa kuhusu maisha yake ya utotoni na ndoa ya mapema. Alisema maisha yalikuwa rough, tough na horrible, na kwamba hakutaka watoto wake wapitie suffering aliyopitia. Hiyo ndiyo ilikuwa upande mwingine wa yule woman ambaye Kenya iliiona akiwa confident mbele ya cameras
Lakini kabla ya kuwa diplomat, activist na public personality, Orie tayari alikuwa ameanza kuvunja records. Mwaka 1964, alishinda taji la Miss Kenya akiwa bado very young. Hii ilikuwa kipindi ambacho
Grace Wanamu HISTORY