
03/10/2025
Kitayi.....
Watu wangu wapendwa wa Temba Temba, Rashid, Kibingei, Kibunde, Stabicha na Kitayi,
njooni kwa wingi tupate kujumuika, kusemezana na kushirikiana mawazo.
π Hii ni nafasi yetu ya pamoja kusikilizana na kujenga mustakabali bora.