BUSIA Border RADIO

BUSIA Border RADIO The Best Radio station in Busia County with best mix of music and presenters. Embraced with well packaged and comprehensive News bulletins.
(1)

Truphena Muthoni ameweka rekodi mpya ya mtu wa pekee duniani kukumbatia mti kwa saa 72 bila kupumzika.
11/12/2025

Truphena Muthoni ameweka rekodi mpya ya mtu wa pekee duniani kukumbatia mti kwa saa 72 bila kupumzika.

Dakika Chache zimesalia Truphena Muthoni aandikishe Rekodi ya kukumbatia Mti. Mpe maua yake... 🌹
11/12/2025

Dakika Chache zimesalia Truphena Muthoni aandikishe Rekodi ya kukumbatia Mti.

Mpe maua yake... 🌹

Miss Magharibi ni kesho hapo Martini Lounge- Bungoma. Umepata Tiketi yako? ingia hapo www.tikohub.com hii itakuwa nzuri ...
11/12/2025

Miss Magharibi ni kesho hapo Martini Lounge- Bungoma. Umepata Tiketi yako? ingia hapo www.tikohub.com hii itakuwa nzuri na Unakaribishwa

10/12/2025

FARE THEE WELL MWALIMU PATRICK WAFULA MAKALI

Truphena Muthoni anapania kuweka rekodi mpya ya kukumbatia Mti kwa Saa 72.
10/12/2025

Truphena Muthoni anapania kuweka rekodi mpya ya kukumbatia Mti kwa Saa 72.


Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamu kutoka mtaa wa Ojamii, wadi ya Ang'orom kaunti ya busia,yuko hali mahututi baada ya...
10/12/2025

Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamu kutoka mtaa wa Ojamii, wadi ya Ang'orom kaunti ya busia,yuko hali mahututi baada ya kugongwa na gari aina ya Probox kwenye barabara inayounganisha Mtongwe kuingia barabara kuu ya Ojamii - Malaba mita chache karibu na kanisa katoliki la ojamii .

Kulingana na walioshuhudia kisa hicho wakiongozwa na Annet Chebet wanasema mwanamke huyo aligongwa na nyuma akitokea nyumbani kwake kueleka sokoni kupitia barabara hiyo, kabla yake kugongwa na gari hilo ambalo linadaiwa lililua kwa mwendo wa kasi

Wametoa wito kwa madereva kuzingatia kasi ya magari yao msimu huu wa krismasi ili kupunguza visa vya ajali ambavyo vinaweza kutokea disemba hii.

Like || Comment || Follow

Two days to go tukutane Martini Lounge Bungoma hii Friday jioni kwenye Miss Magharibi 2025 👌
10/12/2025

Two days to go tukutane Martini Lounge Bungoma hii Friday jioni kwenye Miss Magharibi 2025 👌

Kumekucha kumepambazuka Busia Breakfast program yateka anga 🔥🔥 89.9 WCW edition. 6.00am-10.00am .Moods za X-MASS ndio  z...
10/12/2025

Kumekucha kumepambazuka

Busia Breakfast program yateka anga 🔥🔥 89.9
WCW edition. 6.00am-10.00am .Moods za X-MASS ndio zinaendelea kushika , hapo ulipo ushapewa pesa zako za chama??...

unasikiliza ukiwa wapi? tukuchezee kibao kipi???

Like || Comment || Follow

Ni masaa ya Asubuhi Amka tuombee. weka imani, ombea Afya yako, ombea Kazi, ombea Amani, Ombea ndoa, ombea kila kitu, Mun...
10/12/2025

Ni masaa ya Asubuhi Amka tuombee. weka imani, ombea Afya yako, ombea Kazi, ombea Amani, Ombea ndoa, ombea kila kitu, Mungu Mwanzo.

Hivi sasa ni kipindi cha daraja la faraja naye Binti wa yesu kuanzia 5:00am - 6:00 pm. Inasikiliza ukiwa wapi??

border radio

Like || Share || Follow

10/12/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Cyrus Bin Cohen, Cecile Nechesa Luvisia, Kevin Jumah, Emaase Vincent, Godfrey Wafula, Sally Akinyi, Timo Kijana Mpyenga, Mum Toto, Philo Wandesh, Yobrah Chieesah, Silvestar Demsey, Velma Wandera, Babu Muthama, Alfred Lopeyok, Soloo Booy, Felo Felo, Susan Sande, Verstrian Ochieng, Sylvia Lubanga, Pamba Safi Colection, Reymond Dindi Dindi, Lilian Nandieki, Dalmas Odhiambo, Marlow Bin Malosh, Denis Okitwi, Woud Sabastian, Roney Eliaz, Detry Myke, Paul Senior, Philip Felix Sanya, Nick De Montana, Cindy Patella, Ronald Rona, Quincy Rödhà, Christine Mary, Nelly Rabby, Bigambo Justus, Deeǰàÿ Faimoh Kenya, Phanuel Maumo, Clinton Halland, Vanessa Beiby, Polline Atieno, Vicky Whitley, Purity Johnston Nekesa, Melloz Soja, Peter Innocent Bowy, Tony Wambua, Edwin Eduu, Caroline Sanya, Kijana Wa Imani

hi guys, Counting days to X-MaSs. .. hii ndio wiki ya kushona vitenge na kugawana pesa za chama ... penye uko watu washa...
09/12/2025

hi guys, Counting days to X-MaSs. .. hii ndio wiki ya kushona vitenge na kugawana pesa za chama ... penye uko watu washaanza kugawana nyama, ama wewe hua hauchangi pesa ya nyama ya X-MASS.

Like || Comment || Follow

border radio updates

Kaunti ya Busia imetengewa shilingi bilioni moja kutoka kwa serikali kuu kupitia mpango wake wa stima mashinani ili kuwa...
08/12/2025

Kaunti ya Busia imetengewa shilingi bilioni moja kutoka kwa serikali kuu kupitia mpango wake wa stima mashinani ili kuwawezesha wakaazi mashinani kupata stima bila malipo yoyote.

Kulingana na waziri wa kawi nchini Opiyo Wandayi zaidi ya maboma 17,000 kutoka eneo bunge la Teso Kusini yanatarajiwa kuunganishiwa umeme kupitia mpango huo ambao umegharimu shilingi milioni mia mbili ikitarajiwa kukamilika mwishoni mwa februari mwaka 2026.

Wandayi ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa mradi huo katika maeneo ya kamarinyang' na Among'ura, akiwaonya wananchi dhidi ya kuhusika na ufisadi katika kuunganishiwa stima kauli ambayo imeungwa mkono na mbunge wa eneo hilo Mary Emaase aliyewataka wananchi kupongeza serikali kwa mradi huo ambao utawafaa pakubwa.

updates

Like || Comment || Follow

Address

Busia

Telephone

+254791269092

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BUSIA Border RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BUSIA Border RADIO:

Share