10/06/2026
𝐀𝐘𝐀𝐍𝐀 𝟏𝟏𝐓𝐇 𝐉𝐔𝐍𝐄 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐄𝐏𝐈𝐒𝐎𝐃𝐄 𝟏
Tuliona Robert akiambiwa na Anna,atoke nje kiasi anataka kuongea na Kefa pale chumbani kwa Tyrone.
Robert alitoka na akapigiwa simu na DCI beshte yake akamuuliza,story ya missing son imefika wapi? Anna alipiga simu. Robert akamwambia unajua tu mambo ya akina mama ako worried tu but najua kijana atarudi. Lakini DCI akamwambia nimekupigia kukuambia kuna dead body ya kijana mdark hivi uko kwa forest...aah! Robert nguvu ziliisha,ameshtuka sana.
Huku kwa mansion kwa nyumba,Anna analeta Kefa juu anamwambia mbona ukuje kwa wedding yangu na sikualika,plus what we had jana iliisha jana. Kefa akamwambia ni sawa,wee endelea kujidanganya but najua unanipenda ju we have a true love. Punde si punde,Robert akafika. Kefa akaambia Robert,najua inauma ju nikiona unaoa the love of my life inaniuma but guess what Annaliza ni wako. Kefa akaamua wafanye handshake na Robert but badala ya Robert kumsalimia,akashika Anna mkono akamwambia kuja twende.
Sikiza,Robert hakuambia Annaliza kuhusu phone call amepigiwa,but alimwambia anataka watoke. Tyrone akakuja akauliza,mbona mapema hivi? Robert akasema ameitiwa kazi pahali anataka aende afanye so adrop Anna kwanza but Tyrone akamwambia usijali,wee enda I will drop your wife home safely. Bado Robert hajaambia Annaliza kuna phone call amepata kutoka DCI.
Wacha Tyrone akuje kwa room,asikie Kefa na Tinah wanaongea wakicheka kwa bedroom. Tyrone alijam,akakuja akauliza Kefa,nani alikuambia ukuje kwa room ya mtoto wangu? Kefa akasema ni sawa iam sorry but ni Tinah alinialika lakini Tyrone hataki kusikia huu ujinga aliambia Kefa ni utoke kutoka alah!
Tyrone aliambia Tinah,hata k**a alikusaidia hana ruhusa kukaa kwa room yako na wewe mkifanya? Tinah akamwambia I just wanted kumwambia thanks lakini Tyrone akamwambia this is my house and I have rules. Tinah k**a kawaida akajifanya victim akasema Kefa was the only man mwenye alimsaidia when everyone was busy planning weddings. Tyrone akafeel enyewe acha akae chini.
Robert alienda akaacha Annaliza na Tyrone ameenda kukaa na Tinah. Annaliza akamcall Kefa akamuuliza ushatoka ama bado? Kefa akamwambia no niko hapa bado,kuna shida? Annaliza akasema ni Kylian, sijui ako wapi,how I wish ungekua bado uko ju hakua anakufanyia mchezo ukiwa. Kefa akacheka akamwambia si uliamua kuwa na baba mwingine 🤣🤣🤣
𝐄𝐏𝐈𝐒𝐎𝐃𝐄 𝟐
Mngeshindwa sana hii time yoote Kefa akiwa na Tinah Mathew alikua wapi? Kumbe Mathew alikuja kwa room ya Nura🤣🤣Nura akamuuliza unataka nini lakini Mathew akamwambia acha kujifanya hunitaki na unanitaka. Nura akamuuliza kichwa chako kizuri kweli? Mathew akamwambia unaona venye uko mrembo,kwanza venye umevaa...Nura akamkatiza,akamwambia sina hisia na wewe kabisa, so usidhani nakutaka wewe, sahau! Punde si punde,wakasikia mtu anabisha ikabidi Mathew ajifiche. Nura kufungua mlango kumbe ni Asha 🤣🤣Asha akazuiliwa kuingia hadi akauliza kwani kuna nini nimesikia mnaongea na mtu? Nura akasema ni simu si mtu nimekua naongea na simu 🤣🤣🤣Nura akamuokolea Mathew.
Nura akarudi akaambia Mathew sikiza, focus na Tinah,mimi ukijiweka kwangu nitakuheartbreak,please focus na Tinah na sitarudia lakini Mathew akamwambia aje "Iam not giving up on you" 🤣🤣Nura alimwambia sikiza,mimi ni wa Mombasa bna,sisi hutaka wanaume si gume gume🤣🤣🤣woiye Mathew,kalifukuzwa.
Makosa ikawa,wakati tu Mathew anatoka kwa Nura hivi,mbele yake,Tyrone akamuona. Akamuuliza haya, leo unatoka kwa room ya maid,kuna nini? Mathew akadanganya akasema ni Nura imagine alipoteza beshte yake so nilikua namuongelesha at least ametulia tulia 🤣🤣🤣
Baadaye Tyrone alikuja akauliza Annaliza mbona hukutaka Kylian na Nura waendelee na mapenzi na venye wako good together? Annaliza akasema ni venye sikutaka chenye kilifanyika Mombasa kijirudie na sikutaka watukosanishe sisi. Tyrone akamwambia its ok,its getting late twende nikudrop home.
Punde si punde, Robert akafika kwenye kuna mwili na akapewa ruhusa kufungua aone k**a ni Kylina,cheki venye mwanaume anatetemeka,anaomba tu asiwe Kylian lakini maskini wa Mungu,kufungua tu hivi, Kylian is dead,makosa!