Chuka University Radio

Chuka University Radio Chuka university Radio 98.8 FM. The number 1 community radio station! Furaha Yako, Fahari Yetu.
(1)

Tharaka Nithi | Meru | Embu | Kirinyaga | Samburu | Kiambu | Isiolo

Good Morning Champions 😅😁💙Karibu kwenye wiki na siku nyingine ya kelele.... Asubuhi Njema... This is the        Hadi saa...
14/07/2025

Good Morning Champions 😅😁💙
Karibu kwenye wiki na siku nyingine ya kelele.... Asubuhi Njema...
This is the
Hadi saa nne
Umeamka? Unaanza wiki vipi?
Chuka University Radio Chuka University

🔥FINALE YA FIFA CLUB WORLD CUP YA LEO! 🔥Chelsea 🆚 PSG – nani atatwaa taji? 👑⚽Chuka University Radio  itakuletea matangaz...
13/07/2025

🔥FINALE YA FIFA CLUB WORLD CUP YA LEO! 🔥
Chelsea 🆚 PSG – nani atatwaa taji? 👑⚽

Chuka University Radio itakuletea matangazo mubashara… LIVE kabisa!
Ni Chelsea ama PSG? Toa ubashiri wako sasa hivi!
Chuka University Radio Chuka University
Collins Kefa

  for your  ✅Relax and Listen to 98.8fm for the Coolest   with Mugicagi Bryan ZC and   Always here for you sweet moments...
13/07/2025

for your ✅
Relax and Listen to 98.8fm for the Coolest with Mugicagi Bryan ZC and
Always here for you sweet moments
Chuka University Radio Chuka University

  YA MICHEZOMan United- Bryan MbeumoManchester United inaendelea na mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji Bryan Mbeumo, h...
13/07/2025

YA MICHEZO

Man United- Bryan Mbeumo

Manchester United inaendelea na mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji Bryan Mbeumo, huku klabu hiyo ikitumai kupata mwangaza rasmi kufikia mwisho wa wiki ijayo.

Mbeumo ameripotiwa kusisitiza kuwa nia yake ni kujiunga na United, na hataki kujadiliana na klabu nyingine.
Hadi kufikia sasa, Klabu hiyo imesaini mchezaji mmoja pekee ambaye ni Matheus Cunha kutoka Wolves.
Chuka University Radio Chuka University

🔴HEWANI🔴  ukiwa na   Hadi mida ya saa saba mchana Tuambie   Yako inakuendeaje? Kipi hicho umejifunza Leo kanisani?074023...
13/07/2025

🔴HEWANI🔴
ukiwa na Hadi mida ya saa saba mchana
Tuambie Yako inakuendeaje?
Kipi hicho umejifunza Leo kanisani?
0740233476

Chuka University Radio Chuka University

Chuka University is set to Host the 2nd Summer School on Nuclear-Based Livestock Technologies.Experts from 22 African co...
13/07/2025

Chuka University is set to Host the 2nd Summer School on Nuclear-Based Livestock Technologies.
Experts from 22 African countries will be gathering for a two-week intensive training on boosting livestock productivity through safe nuclear-assisted technologies, starting Monday 14th- Friday 25th July 2025.
Welcome to Chuka University
KALRO Kenya Animal Genetic Resources Centre Chuka University Alumni Association -CUAA

   !Mizani iko juu! Roots, Lovers & Dancehall vibes nonstop hadi 12 midnight! 🔥🎶  wanaendesha meli ya Reggae usiku kucha...
12/07/2025

!
Mizani iko juu! Roots, Lovers & Dancehall vibes nonstop hadi 12 midnight! 🔥🎶

wanaendesha meli ya Reggae usiku kucha, ni vibes tu na spice ya ukweli!
!
Chuka University Radio Chuka University Furaha Yako, Fahari Yetu!

 Kindiki: Upinzani Hauna Ajenda kwa WakenyaNaibu Rais Profesa Kithure Kindiki amesema upinzani hauna ajenda ya maana kwa...
12/07/2025



Kindiki: Upinzani Hauna Ajenda kwa Wakenya

Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amesema upinzani hauna ajenda ya maana kwa Wakenya na badala yake unashughulika na siasa za vurugu na propaganda.

Akizungumza katika hafla ya hadhara kaunti ya Kisii, Kindiki alisisitiza kuwa serikali itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo na kulinda usalama wa raia licha ya kelele za kisiasa kutoka kwa wapinzani.

Chuka University Radio Chuka University

Karibu sasa tuangazie Masuala ya spoti pamoja!Habari za Michezo na Burudani Kemkem!Timu Yako imesaini jina kubwa?Taja te...
12/07/2025

Karibu sasa tuangazie Masuala ya spoti pamoja!
Habari za Michezo na Burudani Kemkem!
Timu Yako imesaini jina kubwa?
Taja team Yako tukisonga....
Collins Kefa na
Chuka University Radio Chuka University

Address

Chuka

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuka University Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chuka University Radio:

Share

Category